video

  1. Video: Kwa nini shilingi inaweza kushuka hata mapato ya mauzo ya nje yanapoongezeka?

    https://youtu.be/3AfHjKilsoU Fikiria mfanyabiashara anayehitaji dola 1,000 kulipia bidhaa kutoka nje. Kwa kiwango cha Sh 2,460 kwa dola, anahitaji Sh 2,460,000. Kiwango kikibadilika kuwa Sh 2,641, atahitaji Sh 2,641,000. Hiyo ni Sh 181,000 zaidi kwa bidhaa zilezile, hata kama muuzaji hajaongeza...
  2. K

    VIDEO: Luhaga Mpina atuma makombora mazito kwa Samia: "Umeua watu eti wametaka kukupindua, kwani ukipinduliwa we kuna shida gani ??"

    https://youtu.be/Rb1zzjsgDAc?t=2360 SASA UKIPINDULIWA NDIO UUE WATU ?????? UKIPINDILIWA UNARUDI NYUMBANI. UKIPINDULIWA WE KUNA SHIDA GANI ??? Watu wamechoka na ukandamizaji aiseee... Watanganyika wanazidi kuendelea kuamka kila uchwao.....
  3. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  4. N

    VIDEO: Hili shangwe la Shaka!! Shaka Hamdu!! Shaka!! linatupa picha gani sisi wengine wenye mamlaka?

    Maana halisi ya kiongozi ni mtu anayewaongoza, kuwaelekeza, kuwahamasisha na kuwajibika kwa ajili ya watu anaowaongoza ili kufikia lengo au maono fulani. Kiongozi si mtu mwenye cheo au mamlaka tu, bali ni mtu mwenye uwezo wa kuonyesha njia, kutoa mfano mzuri na kubeba wajibu wa maamuzi yake...
  5. Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
  6. Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  7. Naomba radhi kwa hii video Kama unaroho nyepesi usiangalie

    Naombeni mnisamehe 🀣🀣🀣
  8. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  9. Nini ingekuwa hatma ya mtengeneza video kama hii kwa mtawala wa Kibongo bongo?

    Angeokotowa Mwebwepande huko.
  10. Mabinti wa kipare wana Password (video)

    Kijana Pata password upewe kazi
  11. Video: Hawa Watoto Omba-Omba, kutoka Tz nani anawapeleka Nairobi?

    Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana πŸ™ŒπŸΎ Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya...
  12. Aisee mpate pesa mpelekeni watoto wenu zile shule zinazosimamiwa na masista huko mikoani ila kuepuka vituko kama hivi kwenye hii video

    Umasikini ni kitu cha kishetani sana aiseee.
  13. Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  14. Kwa Nini Video Zako za AI Hazionekani za Kitaalamu? Makosa 5 Unayopaswa Kuepuka Unapotumia Gemini AI Pro

    Unaweza kuwa na zana bora ya AI, lakini bado ukatengeneza video zisizovutia. Tatizo si lazima liwe teknolojia unayotumia, bali namna unavyoielekeza. Gemini AI Pro inaweza kukusaidia katika ubunifu wa maudhui ya video, lakini kupata matokeo bora kunahitaji maelekezo sahihi. Haya ni makosa matano...
  15. AI video generator applications za gharama nafuu

    Kwa kawaida mimi ni mtu nisiyeweza kukaa tu bila kutumia muda wangu kufanya jambo lenye manufaa kwangu.Katika maisha yangu nishaandika Novel,jifunza tailoring,mapishi ya mataifa mbalimbali,kifaransa,kiarabu,kuigiza,kuimba,,ufundi plumbing.Mimi ni fimale plumber mzuri sana ni hivyo tu maisha...
  16. Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Dr am 4 real PhD what happened to our youths, my brother? Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"
  17. W

    Vumbi na upepo vyatawala Nairobi Alhamisi Jioni, kulikoni?

    Wakazi wa Nairobi wamebaki na maswali baada ya vumbi na upepo kuonekana katika maeneo mbalimbali ya jiji Alhamisi jioni, huku video zinazosambaa mitandaoni zikionyesha hali iliyowashangaza wengi. Baadhi ya video hizo zinaonyesha vumbi likipeperushwa na upepo, hali iliyowafanya watumiaji wa...
  18. Video: Kinachoendelea Mbeya

    66K views Β· 3.8K reactions | Nini kinaendelea Mbeya?? πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ | Malisa GJ
  19. Video ndefu ya kilichotokea Oktoba 21, 2026 kati ya Mbunge na Madereva Bajaji wa Mbeya waliofanya mgomo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…