Yaani siombi ije kutokea ,lakini ikiwa kiongozi yeyote yule halafu nimjua kuwa yeye ndio ametoa amri ya nichapwe viboko hadharani,nakufa nae hadharani na ulimwengu utasikia ,huu udhalilishaji umepitwa na wakati.
Kwa kuwa tu umekuwa na cheo sasa unathubutu kuchapa watu bakora,kama ni kujitoa...