Hivi karibuni, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilifuta adhabu ya vikobo shuleni, hivyo kuungana na mataifa mengi duniani yaliyowahi kufikia uamuzi huo..
Ni adhabu ambayo kwa miaka mingi tangu karne ya 19 na 20, ilikuwa ikitumika kama njia ya kuwanyoosha wanafunzi wasio na nidhamu au...
Inasikitisha na inashangaza kuona watunga sera wetu wakikurupuka kuiga tamaduni za kigeni bila kufanya empirical research ya kina kuhusu mazingira halisi ya malezi ya Kiafrika. Maamuzi ya kuondoa adhabu ya viboko mashuleni si tu kwamba ni ya kijuha, bali ni janga la kitaifa linalokwenda kuharibu...
JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA!
Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla,
Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
Badala ya kuchapa watoto hizi zinaweza kuwa adhabu nzuri zaidi na zenye ufanisi kwa watoto wakorofi hasa kuanzia darasa la sita na sekondari
1. Kusafisha vyoo vya shule (kwa shule za umma vyoo vilivyo vibaya hii ni adhabu kubwa sana)
2. Kudeki madarasa
3. Kufagia viunga vya shule
4. Kumwagilia...
Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe?
Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
Napinga kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni bila kuwepo kwa mfumo madhubuti wa mbadala wa kusimamia nidhamu.
Elimu si haki ya kupata maarifa pekee, bali pia ni malezi, uwajibikaji na kujifunza kuheshimu mamlaka. Tunapozungumzia haki za mtoto, tusisahau pia wajibu wake.
Tatizo halikuwa uwepo...
Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu
Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni.
Sasa hili la kufutwa adhabu...
Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo?
Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025?
Kwa...
Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
Nawashangaa Sana walimu wenzangu kuchukia kuondolewa Kwa adhabu ya viboko mashuleni,Mimi binafsi nilisha acha kuchapa mwanafunzi mwaka wa Tano Sasa ,tangia tukio la mwalimu kufungwa jela Kwa kosa la kuua.
experience inaniambia ,kuanzia kipindi hicho Matokeo ya wanafunzi wangu yanategemea Sana...
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja yakisisitiza umuhimu wa kuondoa adhabu hiyo katika mazingira ya shule.
Tamko hilo pia linaungwa...
Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa.
Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani.
NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000,
Kuna kusoma...
Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi
Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka Medellín, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake binafsi.
Bustani ya kijani na bwawa la kuogelea? Mbwa wakali? Twiga? Hayo yalikuwa ya matajiri wa...
MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa.
Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.