viboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

    Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj === Ujumbe: Video imeondolewa.
  2. Viboko Mashuleni Kukomeshwa, Je Imechangia Kwa Maadili Kuporomoka Au Maadili Mema Kuongezeka?

    Wakubwa habari zenu mimi ni kijana wa 30+ na hivi karibuni natarajia kupata mtoto wa pili, majaliwa ya mwenyezi mungu. Haya tujikite kwenye mada hapo juu, kwa jamii ninayo ishi nimeshuhudia vitendo viovu na maadili mabaya hasa kwa wadogo zetu, wengine watoto ambao unao uwezo wa kumzaa...
  3. J

    Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WILDAF...
  4. TAWA yaweka kambi rufiji, elimu ya kuepuka madhara ya mamba na viboko yatolewa Na. Beatus Maganja

    Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa...
  5. A

    KERO Serikali imeshindwa kudhibiti adhabu za Viboko shuleni? Shule ya Msingi Bwagula na Shule ya Sekondari Tunamkumbuka zimepitiliza

    Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi kuacha shule, ulemavu pamoja na alama zisizifutika yaani makovu ya kudumu. Upigaji aua utiajia wa...
  6. Sheria za nchi yetu zinaruhusu kuwachapa viboko watu wazima hadharani?

    Najua kuna Jamii zenye taratibu za kuadhibiana kwa viboko kwa mujibu wa taratibu zao, pale inapotokea mwanajamii wao kakiuka taratibu walizokubalina. Vipi kwa upande wa viongozi wa Serikali, kuna kifungu cho chote cha Kisheria kinachowapa mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko kwa "wakosaji"?
  7. Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  8. Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  9. Simiyu: Ahukumiwa kuchapwa viboko 8 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imemhukumu Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza adhabu ya kuchapwa viboko nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha. Mbali na adhabu hiyo, Mshtakiwa ametakiwa na Mahakama hiyo kumlipa...
  10. Mwalimu aliyemcharaza Mwanafunzi wa miaka 9 Viboko 107 afikishwa Mahakamani

    Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule. Mwalimu alijaribu kuficha kitendo hicho kwa kumfungia Mwanafunzi Bwenini na kumnyima matibabu baada ya kugundua ana...
  11. Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

    Huko Kilimanjaro Mwalimu amempiga mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka saba mpaka kifo kwa kosa la kupiga kelele darasan 🥲 Kwenye picha huyo ni Mama yake Mzazi wa huyo mwanafunzi ameeleza kwamba Mwalimu Alimpiga sana mwanafunzi huyo mpaka alijikojolea baada ya hali kuwa mbaya ya...
  12. Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  13. Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  14. Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
  15. Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  16. Kuna Viboko kumfanya mtoto aelewe na Kuna Viboko kumpa mtoto Nidhamu!

    Nakumbuka wakati nasoma ,Kuna wanafunzi walikua Wana Uwezo wa kawaida , wengine kupuuza tu mambo Kwa kiburi n.k, Walimu walisimama kidete, Umepewa Kazi hujafanya Makusudi ,Bakoraa !! umepewa Kazi umekosa zaidi ya Nusu ,bakoraaa .. Mimi mwenyewe niliwah Chapwa bakora Kwa sababu ya Mwandiko...
  17. L

    Adhabu ya viboko inatakiwa kufutwa kabisa kwenye shule

    Suala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana, pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe...
  18. Waraka wa Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko kwa Shule za Tanzania Bara

    Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
  19. U

    DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  20. Arusha: Afariki dunia akidaiwa kuchapwa viboko 280

    Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi. Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…