Kenya imeanza hatua mpya za kuimarisha sekta ya maziwa baada ya kuagiza nyati 1,000 kutoka India chini ya makubaliano kati ya nchi hizo mbili, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji wa maziwa na kupunguza uhaba unaoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo nchini.
Mwenyekiti wa Bodi ya Maziwa Kenya...
Imeripotiwa kuwa, mwaka 2025 Nchi ya ujerumani ilikuwa na vijana milioni 83.
Kutokana na uwepo wa idadi ndogo ya vijana walio tayari kuzaa watoto, nchi Yao imegoma kukua,
Imeripotiwa kuwa kufikia mwaka 2045, idadi ya vijana itakuwa milioni 81 pekee, Sasa hiyo ni miaka ishirini mbele ambapo...
Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree).
Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
Tanzania inazalisha tani 260,000 za mabati kwa mwaka dhidi ya mahitaji ya ndani ya tani 130,000, sawa na uzalishaji unaozidi mahitaji kwa mara mbili.
Hali hiyo inahusishwa na hatua za kulinda viwanda vya ndani kupitia kuongeza ushuru wa mabati yanayoagizwa kutoka nje kutoka asilimia 10 hadi 35...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 23, 2026, ametembelea kampuni ya Vylor inayojihusisha na utengenezaji wa mbegu za kisasa za kilimo, ambayo zamani ilikua sehemu ya Corteva Agriscience mjini Johnston, Jimbo la Iowa, nchini Marekani.
Akiwa katika kampuni hiyo ambayo pia imejikita...
Tanzania inaendelea kuimarisha juhudi za kujitegemea katika uzalishaji wa dawa, huku kampuni 57 zikiwa katika majadiliano ya kuwekeza nchini. Serikali inalenga kuongeza uzalishaji wa dawa ndani ya nchi hadi asilimia 80 ifikapo mwaka 2030, hatua inayotarajiwa kupunguza utegemezi wa dawa...
Wakati Nuhu Peter Changawa alipojiunga na Twyford Tanzania mwaka 2017, alikuwa ni mtaalamu wa ghala mwenye ujuzi mdogo wa usimamizi wa maghala ya kisasa. Hii leo, anasimamia operesheni za ghala katika kiwanda cha kusindika glasi, akipanda cheo kutoka mtaalamu hadi msimamizi na meneja wa ghala...
TANESCO wametuunga na wengine tumejoin wenyewe katika magroup yao ya TANESCO huku Masasi Mkoani Mtwara, tukilalamika humo hakuna kusaidika, hapa tu wametoka kukata umeme, wanakata sana, hivi kweli kuna uzalishaji hapa wa kueleweka?
Vitu vinaungua mara kwa mara kutokana na mtundo wao wa kukata...
Nimekuwa nikiona changamoto moja kwa baadhi ya biashara za manufacturing.
Mmiliki anaweza kujua amenunua raw materials kwa kiasi gani mwezi huu, lakini akija kuuliza:
Gharama halisi ya kuzalisha bidhaa moja ni kiasi gani?
Batch hii imetumia materials kiasi gani?
Wastage ilikuwa asilimia ngapi...
Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu....
Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
My Take
Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini.
Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
Mazungumzo ya moto yanayohusisha Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa Gladys Boss Shollei na mwandishi wa Citizen TV Sam Gituku yamezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kugongana moja kwa moja hewani kuhusu takwimu za uzalishaji wa mahindi nchini Kenya.
Kesi hiyo ilianza pale Gituku alipobana...
Ndugu Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu.
Tanzania ni nchi changa...
Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa mauzo/faida.
Mfano: Kiwanda X kinazalisha baiskeli 1000 kwa siku, na ili kiwanda X kiendelee kuzalisha na...
Utangulizi: Safari ya Alfajiri na Ndoto ya Maji Safi
Kila alfajiri mkoani Songwe, mamia ya wanawake katika Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe huanza safari ndefu na yenye hatari kubwa. Hii si safari ya burudani wala hiari, bali ni mapambano ya lazima ya kusaka nishati ya uhai maji safi na salama...
Wafanyakazi wa Kiwanda cha kuzalisha dawa za binadamu cha Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) wameipigia yowe Serikali wakilalamikia bodi na menejimenti, hususan mbia binafsi (kampuni ya Diocare Ltd), kwa madai ya kuhujumu mchakato wa ajira zao na kukwamisha uendeshaji wa kiwanda hicho...
Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu.
https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw==
My Take
Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia.
Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
1. Marekani- Mapipa milioni 22
Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku.
Marekani pia ndiyo watumizi wakubwa wa mafuta ghafi, kutokana na idadi yake kubwa ya watu.
Jimbo la Texas ndilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.