uwezo

  1. Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  2. Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  3. Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

    Karibuni great thinkaz
  4. C

    Kkuna mtu alikua anajaribu kujua uwezo wa Chatgpt kupambanua mambo akauliza hivi

    Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi: Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
  5. C

    Je, kuku ana uwezo wa kunusa harufu ? nilifanya utafiti huu nikagundua anaweza kutambabua harufu

    Muda si mrefu nitachapisha makala yangu kuhusiana na hili na nitakuja kuiuza humu JF Naomba niwapitishe kidogo kwenye utafiti nilioufanya na namna nilivyofanya I1li kutambua kweli kuku wanatumia macho tu kutofautisha chakula au wananusa harufu pia. Nilichukua nylon ambayo ilikua imewekewa...
  6. Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  7. System ya kubebana na kubeba watu wasiokuwa na uwezo ndio imefikisha Tanzania hapa

    Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
  8. Home boy fanya lile ambalo lipo ndani ya uwezo wako

    Huu uzi nimeandika nikiwa kwenye dala dala,kwahiyo kwa wale ambao mnasema ni vigumu kuona mtu akifungua JF akiwa public,basi mimi sio kwamba nafungua tu bali hata kuandika uzi naandika pia. Wazo la kuandika limenijia baada ya kuona mdada amebandika kucha zilizo nakishiwa na gold,nikajikuta...
  9. Mbunge, Boniphace Getere: Ni lini Serikali itaanzisha uzazi wa mpango kwa kuzuia Tembo kuongezeka?

    Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60 hadi 70 au zaidi, jambo linalochangia kuongezeka kwa idadi yao. Kutokana na kutokuwepo kwa...
  10. CCM inapunguza watu wenye uwezo wa kufikiri

    CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri. CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
  11. A

    KERO Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo ndo maana kila kukicha wanalalamikia kufeli mitihani ya leseni

    Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
  12. Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

    Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo. Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
  13. V

    Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  14. China yaitangulia Marekani kwa kiwango cha kukubaliwa kwa uwezo wa uongozi wa kimataifa

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5. Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
  15. Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri (kilaza) ni rahisi sana kudanganywa

    Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana. Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela. Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85...
  16. B

    Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo. Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
  17. Uwezo wa mwanadamu unaofunguka kwenye hali hatarishi

    ‎Kwa kawaida nguvu au uwezo wa mwanadamu tumezoea ni ule mtu anao ishi nao au kutumia kila siku kuwa ndio ukomo wake ila kiuhalisia hivyo sivyo hapo sio ukomo wake ulipo bali kuna uwezo wa ziada mwilini wako unao ila unapatikana au kufunguka pale tu unapkuwa kwenye hatari zaidi, hizi hapaa ni...
  18. Angella Kizigha ana uwezo wa kuwa Waziri wa Wizara mbili mpaka tatu kwa mpigo

    Huyu mtu ni mashine Anao uwezo wa kuwa waziri wa wizara hata tatu. Napendekeza apewe wizara ya madini, apewe mali asili na wizara ya fedha azichakate fedha vizuri. Kwa uwezo wake mkubwa kabisa wa hali ya juu anaweza hata kuwa Waziri na Katibu Mkuu kwa wakati mmoja. #Chapa watanganyika fimbo...
  19. Wanaume wangepewa uwezo wa kuumba wanawake wanaowataka

  20. A

    Njia ya Kwanza ya Kutambua uwezo wa Kiongozi ni watu walio Mzunguka-Machiavelli

    This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one. Key insights from this perspective...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…