uwezo

  1. Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
  2. E

    Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  3. Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

    Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao. Kwa...
  4. Vyombo vya Ulinzi na Usalama havina uwezo kukanusha kama sio mali ya CCM

    Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
  5. T

    AI Bora yenye uwezo wa kubadilisha maandishi ya Kiswahili kuwa Audio

    Habari watu wa humu, Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania. tf.
  6. Mbunge jimbo la Moshi mjini Ibrahim Shayo alia na mkandarasi mradi wa TACTIC,amuomba Mwanri amtimue akidai hana uwezo

    Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
  7. VIDEO: Huyu ndie mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kujibu maswali ya waandishi

    Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
  8. Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  9. L

    Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba . Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki anayekaangwa kwenye Mafuta ya Moto . Yaani hadi Heche Akaishiwa Nguvu za Kusimama na kuamua kukaa chini...
  10. Uwezo Wako: Baraka au Laana?

    Dunia ina idadi kubwa ya watu wasio na shida na wewe, na wala hawana mpango wa kugombana na wewe, ikiwa utawahakikishia kuwa wewe ni wa kawaida, mnyonge, huna mbele wala nyuma na mwenendo wa mambo unaonesha kuwa utaendelea kuwa chini. Katika biblia, kwa mfano, tunasoma habari za Yusufu mwana wa...
  11. Airtel Tanzania ninakusanya ushahidi, nimpate Mwanasheria mwenye uwezo nitawashtaki

    Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu. Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia imetetema kisa kutokamilika kazi zangu kwa muda unaotakiwa. Nimekusanya sms zote mlizonitumia, mkiniomba...
  12. Natamani ningekuwa na uwezo wa kumuombea dua mtu anipe hela ya chai

    Halafu na mimi ningeweza kuishi vizuri . Alikuwepo yule Kiboko ya Wachawi ambaye ukitaka tu kufanya appointment naye ilikuwa lazima umpe sh laki chache.
  13. Anachokifanya Katambi kinadhihirisha Uwezo finyu wa hiki kinachojiita Serikali

    Awali ya yote siitambui serikali iliyopo madarakani kwani HAKUKUWA na uchaguzi. Baada ya October, aina ya kinachoitwa mawaziri wa wizara mbalimbali wamegeuka kituko sijui kama ni planned au ni IQ zao ndogo kama za boss wao. Ama hakika wahalifu hawa wako mbioni kukata moto. Mwisho nakukumbusha...
  14. Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  15. A

    Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  16. Kiranga: "Dhana ya kumuomba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction"

    Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA MSAMAHA" Wamama wanalia sana katika maombi, wameteswa, vizazi vyao vimeharibika ila watesi wao ndio...
  17. M

    Watoto wa 2000 Almaarufu kama Gen Z uwezo wenu wa Akili ni mdogo kuliko vizazi vingine

    Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia. Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial. This major...
  18. E

    EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  19. O

    Mizigo ya harusi bila uwezo mzuri hainaga maana

    Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani? vijana...
  20. Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…