Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje na vitambulisho vya kura?Mbona Chadema wamesajili hawakuwahi kuhitaji kadi za mpiga kura?
Salaam!
Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria,
Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine.
Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto kutoka kwenye vyanzo vyangu kuntu (sitomtaja) toka majuzi wanamtafuta mchezaji Wao captain Fantastic...
Waziri mkuu wa Benjamin Netanyahu ameahidi Israel itawashambulia Wahouthi wa Yemen na baada ya kombora ambalo limerushwa na wanamgambo wa yeman kugonga eneo la uwanja mkuu wa ndege wa Israel.
Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wakijamii wa x zamani twiterr amenukuliwa akisema kuwa ameapa...
Kwaini hizi timu 2 za kariakoo kila zinapocheza zinakuwa kama zipo uwanja wa nyumbani popote pale Tanzania?...babati unakuta timu ya kariakoo inashangiliwa kuliko mwenyeji...hii imekaaje?..
Watu wa mikoani kwa nini hawashabikii timu za kwao?...
Hii hali inaua mpira kabisa
Wanaukumbi.
Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.
Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.
Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.
Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Tafadhali naomba Uongozi wa TAA uzikate ziwe ndogo ili Kuupendezesha kwani kwa jinsi zilivyo sasa zinatia Aibu hasa Kimandhari.
Nikirejea tena Likizo fupi Tanzania naomba nisizikute kwani haziwaaibishi tu TAA bali hata Watanzania wote kuwa ni Wachafu na Watu tusiojali.
Asanteni wana Dar es...
Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania...
Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa
Na Simba ni timu ya Dar es Salaam, mashabikk wake wengi wapo mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania bara, nadhangaa kwa nini Simba ikachagua kwenda Zanzibar ambako ni mbali na kugumu kufikiwa na mashabiki wake wengi?
Pia...
Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani.
Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
Salamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion...
Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo;
Msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Saree alijigamba kwamba usafiri wa anga katika uwanja huo wa ndege...
Wasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.