Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya...
Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001.
Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika.
Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa.
Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
Anonymous
Thread
bariadi
kuzuia
mazoezi
mifugo
mkuu
mkuu wa wilaya
mpira
sawa
uwanjauwanja wa mpira
wilaya
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko.
Wadau wengi wa michezo...
Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi
1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k
2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni
3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye...
Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto.
Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama...
Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar.
Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata kwetu kwa matches za Kimataifa. Why? Una uchafu. Tulichofukia hatusemi ila nyie Mikia mtaona. Hamwendi...
Habari ndugu zangu!
Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya.
Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
Maangamizi mkubwa zaidi wa magaidi uliofanywa na IDF katika miaka miwili iliyopita:
Walioangamizwa na Wasifu wao kwa mwaka (2024):
1) Salee al-Arouri Naibu kiongozi wa kisiasa wa Hamas, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas
2) Marwan Issa Naibu kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas
3)...
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.
Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia.
Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na wanawake oct 29 wengi wakiwa majumbani.
Je, Tutegemee nini #D9 polisi watakutana na visasi vya gen...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leo Novemba 26 limeufungia Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutumika kwenye michezo ya Ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyohitajika kwa matumizi ya viwanja vya mpira. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haikidhi...
Kutoka BBC | Novemba 2, 2025
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma.
Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida...
Kila nipitapo humu, nimekuwa nasoma upuuzi uitwao 'utabiri' wa baadhi ya mazwazwa yanayojikomba kwa bi kidude kutaka wageuzwe chawa na kutupiwa makombo.
Si hapa tu, hata huko mitaani, mchezo huu mchafu umeenea na kutamalaki. Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja...
Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana!
Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm.
Ama hakika CCM inakubalika sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.