Ninaomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (Institute of Finance Management – IFM), hususan suala la kucheleweshewa marejesho ya fedha zao (refunds).
Inasikitisha kuona wanafunzi wakisubiri fedha zao kwa...
Kuna mambo tunayoyaiga kutoka kwa wenzetu wa Ulaya ambayo hayafanyi kazi kabisa katika mazingira yetu.
Katika nchi za Ulaya, kiongozi akikosea na akakemewa au kulaaniwa vikali na umma, huona aibu, hujutia kosa lake, na wengine hufikia hatua ya kujiuzulu mara moja. Huko, presha ya maneno...
Kumekuwa na hii changamoto ya taarifa mbaya kwa mteja kupitia kitu kinaitwa CRB, mtoa huduma huwa hawajibishwi kuleta uthibitisho wa madai yake na hata pindi deni la mdai linapolipwa huwa hawajishughulishi kufuta taarifa mbaya walizomjazia mteja hapo awali na mbaya zaidi mteja hana fursa ya...
DC SHAKA ATOA MSIMAMO WA UKUSANYAJI MAPATO KILOSA
- Abainisha bila kujitathmini mafanikio ni ndoto
- Apigilia msumari dhana ya uwajibikaji na utawala bora
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka Madiwani, Viongozi wa Kata na Vijiji kushirikiana pamoja katika kuongeza kasi ya...
Huyu DC anavutia sana kwa uchapakazi,
Abainisha bila kujitathmini mafanikio ni ndoto.
Apigilia msumari dhana ya uwajibikaji na utawala bora
==
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka Madiwani, Viongozi wa Kata na Vijiji kushirikiana pamoja katika kuongeza kasi ya ukusanyaji wa...
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema misimamo ya familia ya Lissu katika kusimamia haki na ukweli imejengwa tangu ngazi ya familia, akieleza kuwa marehemu Wakili Alute Mughwai Lissu alikuwa mfano wa mtu aliyesimamia kile alichokiamini bila kujali tofauti za kisiasa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, tarehe 08 Novemba 2026, amefanya ziara ya kikazi ya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila iliyopo jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kukagua utoaji wa huduma za matibabu pamoja na kuzungumza na wagonjwa na watumishi wa afya.
Katika ziara hiyo...
Tanzania bila viongozi kuwajibika ajali haziishi.
Leo Iringa wamekufa Watu 20.. Hakuna kiongozi anayejali japo kutoa pole
Samia Suluhu alitoa pole kwa Mtu mmoja alokufa huko Zimbabwe sijui Chivayo, Watanzania zaidi ya 20 wanakufa hatoi pole.. Anapamba kuona Mtanganyika Lissu anafunyongwa...
Habari wana jamvi.
Leo nimekuja tena tuzungumze mambo mazuri kuhusu hili taifa.
Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025 ni wazi ulingo wa kisiasa uligubikwa na aina fulani hivi ya komedi.
Joto la uchaguzi lilikuwa kali ingawaje lilijaa vichekesho vya hapa na pale ktk mitandao ya kijamii...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega Wakati akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026. Amesema kuwa
Matukio yalijitokeza...
Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE.
Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Odero Charles, amekosoa baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati akisema matumizi ya lugha za matusi na nguvu dhidi ya wengine hayaendani na misingi ya uanaharakati.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 2,2026 Odero pia amepongeza kauli mbalimbali...
Jaji mkuu wa Tanzania,Gourge Masaju,ametoa onyo kali kwa Majaji mawakili,maofisa wa polisi na watendaji wengine wa vyombo vya dola wanaotumia madaraka yao kuwaonea na kuwanyima haki maskini na watu wasio na.uwezo ,akiwataka kuwacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa wanajiweka katika hatari ya...
Na GULATONE MASIGA
Historia ya Tanzania ina matukio mbalimbali ya machungu yaliyosababisha vifo vya wananchi, viongozi na watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama. Matukio hayo yanatukumbusha kuwa amani, usalama na utulivu wa nchi si mambo yanayopaswa kuchukuliwa kuwa ya kawaida. Ni tunu...
Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa mchana, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni
Mwanachama mwandamizi wa CCM, alisimama, akanyoosha kidole...
Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! .
Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!.
Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU?
Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.
Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea
Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.
Afanyeje ili mambo yapoe?
KUMBUKUMBU ZA WAATHIRIKA WA VURUGU: JE, TUNAKUMBUKA KWA MSINGI WA HAKI NA UADILIFU AU AJENDA ZA KISIASA?
Na GULATONE MASIGA
Historia ya Tanzania ina matukio mbalimbali ya machungu yaliyosababisha vifo vya wananchi, viongozi na watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama. Matukio hayo...
Mbunge wa Mvomero, Mhe. Sara Msafiri, amehoji utekelezaji wa maelekezo ya Serikali na Bunge kuhusu miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), akibainisha kuwa licha ya kuelekezwa kwa kila mamlaka ya serikali kuandaa angalau mradi 1 wa PPP na kila halmashauri kuandaa angalau miradi 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.