utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    HOJA Kada ya Unesi na Ukunga muundo haupo sawa, umeshindwa kuweka matabaka ya ajira kwa Nurse Degree na Diploma

    Kada ya Uuguzi na ukunga nchini Tanzania kuna changamoto kuhusu muundo wa ajira na utambuzi wa taaluma ya Wauguzi wenye Shahada (Degree) na Diploma, ambao kwa mtazamo wangu haujaweka tofauti zinazostahili kati ya viwango hivyo vya elimu. Changamoto kubwa ni kwamba wauguzi wenye Diploma wanaweza...
  2. M

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444): Haki za raia, uwajibikaji wa Serikali, Ajira, na Uhuru wa Habari/Mawasiliano

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444) zimejaa vipengele vingi vinavyogusa moja kwa moja haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali, ajira, na uhuru wa habari/mawasiliano. 1. Haki ya Mwananchi Kupata Huduma Bora na Kufichua Ukiukwaji wa Maadili Wananchi wengi hawajui kuwa Kanuni...
  3. V

    Pongezi kwa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umna

    Pongezi ni kwa sababu ya urahisi katika 1.kupata email na password vilivyosahaulika kupitia mfumo 2.kutatua changamoto nyingi Za kimfumo bila kuhangaika kama zamani 3.Jumla ya yote kupunguza gharama za kuomba ajira,usaili,pamoja na taratibu za kuripoti kazini kwa kutuma barua za kuitwa kazini...
  4. DC Mnzava ampa Darasa DAS mpya kuzingatia uadilifu na maadili ya utumishi wa umma

    MOSHI- 13/11/2026 Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Mhe. Godfrey Mnzava, ameshuhudia uwekaji wa ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi, Bi. Florida Lulandala. Lulandala amepokea Kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma chini ya usimamizi wa Katibu Msaidizi Ofisi ya...
  5. B

    Msaada katika Mfumo wa ESS UTUMISHI katika kipengele cha E-TRANSFER

    Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima...
  6. A

    KERO Kero kubwa kwa sasa kwenye Mfumo wa ESS Utumishi ni 'VACANCY NOT BUDGETED'

    Serikali inasisitiza watumishi kuomba uhamisho wa kituo cha kazi kwa kutumia mfumo wa ESS Utumishi ikiwa na lengo la kurahisisha mchakato, kuokoa muda na kuondoa ukiritimba. Wengi wanaoomba uhamisho huu ukiacha sababu zingine huwa ni kutaka kuwa karibu na wenza wao. Lakini kumekuwa na khero ya...
  7. A

    KERO Ucheleweshwaji wa utoaji wa majibu ya rufaa za Utumishi Ikulu

    Habari za kazi? Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu. Hadi sasa, hatujapokea...
  8. A

    KERO Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga na NACTVET mnaniharibia maisha yangu, matokeo ya 2018 hayapo kwenye mfumo

    Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada. Wanasema NACTVET hawajafungua...
  9. M

    JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  10. M

    Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  11. S

    DOKEZO Kuna uzembe mkubwa Makao Mkuu ya Utumishi Dodoma, ila hakuna wa kuwawajibisha

    Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo. Si Rais, Waziri...
  12. K

    Kutoka Jukwaani hadi "Sebuleni": Mmomonyoko wa Itifaki, Shida ya Uteuzi na Kuporomoka kwa Mifumo ya Udhibiti na Mizani katika Utumishi wa Umma

    Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
  13. HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA. Ndugu Viongozi, Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
  14. A

    KERO Waajiriwa wapya VETA tuliopangiwa vituo vya kazi kupitia UTUMISHI tumeambiwa tusubiri Siku 90 bila mshahara

    Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
  15. Q

    Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

    Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi. Who's Renatus Nzemo.
  16. Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...
  17. Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu?

    Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu mmoja mmoja? Kumeibuka kasumba kwenye shule nyingi hapa nchini kuweka kambi za kitaaluma kwa kigezo chan "vituo vya mada tata" au bweni bubu na wanafunzi kufundishwa muda mrefu bila kupata nafasi ya kuchangamana...
  18. Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga...
  19. J

    Kwa waliowahi kufanya Practical Interview za utumishi hususani kada ya Database administration ilikuwaje?

    Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo? Natanguliza shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…