utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    Pongezi kwa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umna

    Pongezi ni kwa sababu ya urahisi katika 1.kupata email na password vilivyosahaulika kupitia mfumo 2.kutatua changamoto nyingi Za kimfumo bila kuhangaika kama zamani 3.Jumla ya yote kupunguza gharama za kuomba ajira,usaili,pamoja na taratibu za kuripoti kazini kwa kutuma barua za kuitwa kazini...
  2. Ndagullachrles

    DC Mnzava ampa Darasa DAS mpya kuzingatia uadilifu na maadili ya utumishi wa umma

    MOSHI- 13/11/2026 Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Mhe. Godfrey Mnzava, ameshuhudia uwekaji wa ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi, Bi. Florida Lulandala. Lulandala amepokea Kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma chini ya usimamizi wa Katibu Msaidizi Ofisi ya...
  3. B

    Msaada katika Mfumo wa ESS UTUMISHI katika kipengele cha E-TRANSFER

    Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima...
  4. A

    KERO Kero kubwa kwa sasa kwenye Mfumo wa ESS Utumishi ni 'VACANCY NOT BUDGETED'

    Serikali inasisitiza watumishi kuomba uhamisho wa kituo cha kazi kwa kutumia mfumo wa ESS Utumishi ikiwa na lengo la kurahisisha mchakato, kuokoa muda na kuondoa ukiritimba. Wengi wanaoomba uhamisho huu ukiacha sababu zingine huwa ni kutaka kuwa karibu na wenza wao. Lakini kumekuwa na khero ya...
  5. A

    KERO Ucheleweshwaji wa utoaji wa majibu ya rufaa za Utumishi Ikulu

    Habari za kazi? Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu. Hadi sasa, hatujapokea...
  6. A

    KERO Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga na NACTVET mnaniharibia maisha yangu, matokeo ya 2018 hayapo kwenye mfumo

    Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada. Wanasema NACTVET hawajafungua...
  7. M

    JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  8. M

    Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  9. S

    DOKEZO Kuna uzembe mkubwa Makao Mkuu ya Utumishi Dodoma, ila hakuna wa kuwawajibisha

    Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo. Si Rais, Waziri...
  10. K

    Kutoka Jukwaani hadi "Sebuleni": Mmomonyoko wa Itifaki, Shida ya Uteuzi na Kuporomoka kwa Mifumo ya Udhibiti na Mizani katika Utumishi wa Umma

    Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
  11. Ndombolo Ya Solo

    HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA. Ndugu Viongozi, Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
  12. A

    KERO Waajiriwa wapya VETA tuliopangiwa vituo vya kazi kupitia UTUMISHI tumeambiwa tusubiri Siku 90 bila mshahara

    Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
  13. Q

    Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

    Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi. Who's Renatus Nzemo.
  14. Manyanza

    Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...
  15. DARING SOUL

    Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu?

    Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu mmoja mmoja? Kumeibuka kasumba kwenye shule nyingi hapa nchini kuweka kambi za kitaaluma kwa kigezo chan "vituo vya mada tata" au bweni bubu na wanafunzi kufundishwa muda mrefu bila kupata nafasi ya kuchangamana...
  16. Mr Matt

    Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga...
  17. J

    Kwa waliowahi kufanya Practical Interview za utumishi hususani kada ya Database administration ilikuwaje?

    Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo? Natanguliza shukrani
  18. didy muhenga

    Oral ya utumishi kwa CAG (NAOT)

    Hata nitoke private sasa nijaribu na serikali. Naombeni tips haswa kwa ambao kozi zetu sio za uhasibu au finance. Sisi ambao ni madktar, engineers etc
  19. Roving Journalist

    Waziri Dkt. Akwilapo aagiza Mtumishi kusimamishwa kazi na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kukiuka misingi ya utumishi

    WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA Dodoma Agosti 12, 2026 Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
Back
Top Bottom