utofauti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Utofauti wa hoja na mitazamo sio usaliti

    👉LEMA ametoa hoja na mitazamo yenye uzito mkubwa ndani ya Chama. Hoja zake zinapaswa kutazamwa kwa jicho la tatu, busara na utayari wa kujifunza, badala ya kuhukumiwa kwa misingi ya hisia za kisiasa. 👉Inasikitisha kuona kwamba baadhi ya wanachama wamejenga kasumba ya kumchukulia kila...
  2. bahati93

    Utofauti unatisha

    Ndugu zangu tazama hii picha Angalia na hii Ivi ni kwa namna gani watu wa Spain waliweza kujenga daraja zuri namna hii miaka ya 1793 .. yaan elfu moja mia saba hukoo.. na Wafrica kufungwa fikra zetu tokea miaka hiyo ya utumwa mpaka leo. Umasikini tulionao Africa ni mgumu sana kufahamu...
  3. E

    Nini kinapelekea utofauti wa miaka ya kuhitimu shahada ya uuguzi na ukunga Tanzania ikiwa vyombo husika vinaelekeza miaka 4?

    Kwa Tanzania kada ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya Shahada(Degree) inasomwa miaka 4 ukiongeza mmoja wa intership,lakini kwa masikitiko ni kwamba kuna baadhi ya vyuo sitavitaja vinatoa iyo shahada kwa miaka 3 wengine miaka 2.5 Ni kwanini Baraza la Uuguzi na Ukunga(TNMC) limeshindwa kusimamia hii sera...
  4. fact only

    Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Wanawake na wanaume wanaoshiriki kwenye filamu za ngono hawana tofauti sana na baadhi yenu; tofauti ni kwamba wao hurekodi video na kuziweka hadharani. Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15. Vivyo hivyo kwa kijana wa kiume mwenye...
  5. C-C Digital Pro

    Utofauti wa maneno kati ya "Warmly welcome & Most welcome" na Celebrate & Enjoy" kwenye wimbo "Home boy wa Civilian-Coin"

    https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=O5Lb8BTks6Wrp8QD
  6. Gospel KTV

    Utofauti wa Rangi na Nywele za Wanadamu ulitokana na Nini? Mungu amenipa ufunuo

    Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji. Biblia inaonyesha kwamba wanadamu walitokana na familia ya kwanza ya Adam na Hawa na wakaendelea kuongezeka kwa...
  7. Ambuje Akunnungu

    Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  8. M

    kuna utofauti gani wa kuwa "SIMP" na kuwa gentleman unaejali na kuwa romantic ?

    Uwanja wa maoni upo wazi
  9. Boutafrica

    Biashara ya Guta la mizigo ina utofauti gani na biashara ya bajaj ya abiria?

    Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki...
  10. Fbn

    Tulikimbilia kudai uhuru wa nchi haraka ukilinginisha nchi ambazo zilichelewa ukipelekwa utaona utofauti

    Kujiendesha hatuwezi kiufupi kama taifa. Ila wakoloni wa kizungu wangebaki nahisi tungekuwa mbali sana kimaendeleo kama kusingekuwa na vita vya kwanza na vya pili duniani. Nchi kama south Africa walichelewa kupata uhuru ila kwa maendeleo yaliyokuwepo tu unaona.Ila kupewa watu weusi ndio kama...
  11. H

    Utofauti mkubwa wa umri na dini

    Happy new year 2026 MMU. Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa. kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
  12. J

    Je Wajua Utofauti wa Maandamano ya Sasa huko Iran, na Maandamano yaliyotangulia dhidi ya Utawala wa Kiayatollah?

    Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, Utawala wa Kiayatollah umekumbwa na maandamano mwaka 1999, 2009-2010; 2017-2018; 2019 na 2022-2023. Katika maandamano hayo yote sababu kubwa zimekuwa madai ya Haki za Msingi kwa Wananchi na Mabadiliko ya Mfumo wa Kisiasa. Kwa sehemu kubwa maandamano hayo...
  13. Fbn

    Watanzania sio wabunifu, kwanini ukiwa nchi za watu kuna utofauti kabisa. Naomba niwape haya

    Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo. Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao. Kinachonifurahisha kila mtu ana...
  14. M

    Kuna utofauti wa kusomea degree ya Biashara vyuo vya Tanzania na Ulaya kwa mtu ambaye hana msingi wa biashara?

    Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz. Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini. kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
  15. N

    Fahamu Utofauti Kati ya App na Website

    Habari wakuu, Naomba niendelee kutoa baadhi ya elimu kuhusiana na utofauti uliopo kati ya website na app Watu wengi hawaelewi utofauti huu ni nini? Website ni ukurasa au mkusanyiko wa kurasa mtandaoni ambazo mtu anaweza kufikia kupitia kivinjari (browser) kama vile Chrome, Safari, au Firefox...
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika uchawi najinsi inavyo athiri maisha yako

    🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku...
  17. DR HAYA LAND

    Utofauti ambao niliuona Kati ya Tanazania na Kenya katika Maisha ni huu hapa

    Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja . Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa teknolojia ,kuliko kenya. Nidhamu ya muda , wakenya wanajali Sana muda , hata ukitokea msiba wanaweza...
  18. generationn Z

    Utofauti wa speed nchi kavu, angani na baharini

    Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni. Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko? Nauliza hivo maana sijawahi panda...
  19. Now and then

    Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  20. DR HAYA LAND

    Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.

    Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?. Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine . Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena . Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
Back
Top Bottom