utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mpina: Utekaji pamoja na kufungiwa makanisa. Nimeamua kusimama kugombea ili kuyatatua

    Akizungumza na wananchi wa Katoro, Mkoani Geita leo Agosti 20, 2025 katika zoezi la udhamini, Mpina amesema nia yake ni kuingia Ikulu na kuunda Serikali yenye viongozi waaminifu, watakaokomesha ubadhirifu wa fedha za umma na kuelekeza rasilimali hizo katika kutatua matatizo ya wananchi. “Taifa...
  2. Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

    IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
  3. Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  4. Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  5. Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  6. S

    Msidanhanyike: Nchimbi kaongea baada ya Polepole kusema wakati wa Magufuli chama kilikemea utekaji

    Sijasikiliza hiyo clip yote ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu, kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao(CCM) kilipswa na kinapaswa .kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa mimi huo ukemeaji naona ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu...
  7. Inatetemesha na kuogopesha : Mh Polepole asema yanayoendelea Nchini ukiwemo Utekaji na maumivu mengineyo yanatoka Kundi la Wanamtandao!!

    Wakuu Mambo mazito sana !!. Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
  8. R

    Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Salaam! Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea. 1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee? 2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
  9. LHRC: Tunalaani utekaji na kutelekezwa kwa Mwabili Mwagodi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani kitendo cha utekaji, utesaji na kutelekezwa kwa raia wa Kenya, Bw. Mwabili Mwagodi. Tukio hili linatishia misingi ya haki, amani, na utawala wa sheria katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, LHRC inataka uchunguzi huru na wa wazi, na hatua kali...
  10. Je, Utekaji, kupoteza na kuua viumbe wa Mungu ni dhambi ambayo inaweza kurithiwa na vizazi vya wanaotenda matendo hayo?

    Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu. Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA. Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
  11. Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  12. Taifa litazame kwanza Hatima ya Utekaji na Mauaji ya Kisiasa Kabla halijatazama suala la Rais Samia Kugombea au Kutogombea!

    Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote inavyowezekana?. Je Utekaji Mwisho wake utakua Lini ikiwa Rais Samia ataendelea ?. Je Mauaji ya Kisiasa...
  13. K

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
  14. Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  15. Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  16. GE2025 Kuna tetesi Julai 17 Polepole anaenda kusambaratisha Wahuni na Kiongozi wao kuanzia Utekaji, Mauaji, DP World...

    Hii si ya Kukosa Wakuu!!. Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!. Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda 1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku...
  17. Mwanza: Wanne mbaroni utekaji, mauaji ya mfanyabiashara wa madini

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka na kumuua mchimbaji wa madini ya dhahabu, Nestory Marcel Inda (61), mkazi wa mtaa wa Stamico-Katoro, Wilaya na Mkoa wa Geita, ambaye mwili wake ulitupwa katika Ziwa Victoria eneo la Mwalo wa Thale, Wilaya ya Ilemela...
  18. Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

    Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana. "Wito wangu ni tukemee...
  19. GE2025 Zitto Kabwe: Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Watu kama Watendaji wa Vijiji nao pia wanakamata, kutesa na kuua

    "Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza nao pia kukamata, kutesa mpaka kuua." Amesema Zitto. Zitto amebainisha kuwa Ibara ya 14 ya Katiba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…