Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
Anonymous
Thread
changamoto
mbeya
mbovu
sekondari
shule
shule ya sekondari
utawalautawala mbovu
vijijini
Habari wana JF
Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu.
Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.
Maridhiano nao...
Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
Bila kuwa na utawala mbovu uliojaa mafisadi papa na wapigaji waliojaza watoto wao kwenye kila kona ya serikali leo hii haya tunayoshuhudia yasingelitokea.
Jana shughuli za kiuchumi sabasaba zilisimama. Mama ntilie, wamiliki wa mabasi, daladala , mabaa na kila shughuli ya kuingiza kipato...
Hata ufie ukiwa ofisini ila nauliza tu Je baada ya utawala mwisho wako utakuaje kama usikilizi viongozi wema wadini sio wanaokusifia.
Sawa ukawa umetoka kwenye utawala ndio hawa wanaolalamika sisi mtaani kwa nini tukuwa pamoja wakati nguvu zimekuishia na ulivyo kuwa na nguvu mbona ulituona sio...
Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa taasisi za umma
Hakunanga utawala wa sheria. Tanzania tuna utawala wa matamko. Sheria zipo ila...
Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.
Swali: Nani aliwapa Hamas...
Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi.
Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi.
Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
Kwa wale mliofanikiwa kuongea na wazee wa Ki-zanzibar walioishi chini ya Utawala wa Sultan wanauzungumziaje huo utawala?
Nikiitazama Oman nahisi inawezekana tumelishwa matangopori sana kuhusu utawala wa Waarabu wa Oman wa Kisultani huko Zanzibar kwa sababu hata maendeleo chini ya Sultan...
KERO
Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya
1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA.
2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
Anonymous
Thread
changamoto
mchungaji
mishahara
mwema
sekondari
utawala
walimu
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi...
Inawezekana kizazi chake kilikuwepo Zanzibar na ndio kinaendelea kufanya haya kwa taswira ya znz inaonyesha kulikuwa na waganda wengi mpaka kuwepo mapinduzi.
Tuje kwenye mada sasa.
Ukifatilia matendo ya idd amin ni yale yale kama hapa.
Kuna kipindi alitaka kuwa rafiki mzuri wa urusi.
ukuangalia...
Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m.
Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz.
Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo;
1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia?
2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza?
Binafsi maswali haya...
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.