Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) imesema hatua kuu za kisheria katika kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, zilifuata taratibu za sheria, huku ikisisitiza kuwa kutoridhishwa na hukumu kunapaswa kushughulikiwa kupitia njia za...
DC SHAKA ATOA WITO KWA JAMII YA WAFUGAJI KUWEKEZA KWENYE ELIMU, ATOA MFANO WA KIJANA ALIYEVUKA CHANGAMOTO
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, ameeleza kuguswa na mfano wa kijana kutoka katika jamii ya wafugaji ambaye, licha ya kukabiliwa na changamoto za kifamilia zilizomfanya ashindwe...
Kwa utulivu wa fikra,
elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
TAARIFA KWA UMMA
HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI
Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
Nianze na kumpongeza Rais wa JMT DR SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendeleza utawala Bora nchini, Dunia
Imejionea yenyewe jinzi utawala Bora unavyotekelezwa nchini na ikizingatiwa hivi karibuni USA ilitoa waraka ukisema Tanzania ni nchi salama. Narudia tena: HONGERA SANA MH. RAIS DR SAMIA SULUHU...
Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
africa
bora
botswana
duniani 80
imepanda
kutoka
mauritius
morocco
nchi
new
rwanda
tanzania
tanzania yashika nafasi 5
utawalautawalaborautawalabora afrika
My Take
Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇
https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu.
"Tume ya Haki za Binadamu kwa kweli haina meno. Imeng'olewa meno, sasa tunaipa kuwa itafune, haitaweza."...
Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu na unaowajibika kwa raia bila kujali unapatikanaje.
Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla...
Utangulizi
Tanzania ina rasilimali nyingi, watu wenye uwezo mkubwa, ardhi, madini, mifugo, kilimo, bahari na nafasi muhimu ya kijiografia. Hata hivyo, utajiri wa taifa pekee hautoshi kulifikisha taifa kwenye maendeleo endelevu.
Tanzania ya mwaka 2050 inahitaji taasisi imara, Katiba inayolinda...
Hayati Job Ndugai - Januari 6, 2022 alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge, akisema uamuzi huo ameufanya kwa hiyari yake kabisha na kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi, serikali na chama. Desemba 28, 2021 akiwa kwenye mkutano huko Dodoma video yake ilitrendi akisema Samia ametoka...
Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria
Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini.
Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini
Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
Habari wana JF
Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu.
Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria.
Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania.
Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani.
Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha mafunzo ya utawala bora barani Afrika baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu 25 kutoka Somalia kwa ajili ya mafunzo maalumu ya uendeshaji bora wa utumishi wa umma.
Akizungumza wakati wa mapokezi ya ujumbe huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.