utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

    Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi. Nauli ya kutoka Mwanza hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

    Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva...
  4. JamiiForums Tanzania Wanyakyusa wameanza utapeli wa kidini zamani

    Matapeli wa kidini, wanajimu na waganga wanajua kucheza na matukio. Mbasi Kwa muda fulani alikuwepo Mbasi aliyedai kuwa sawa na Kyala (kwa ukuu). Alijifunua kupitia kwa kaimu wake hasa sehemu za Lufilyo chini ya milima ya Ukinga. Hata kabla ya Wamisionari wa Berlin kufika kule, yule kaimu...
  5. JamiiForums Tanzania Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

    Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile. Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform...
  6. JamiiForums Tanzania Utapeli mpya, taasisi zinazohusika msaada tafadhali

    Wana jamii juzi jumapili tarehe 28-09-2025, kuna dogo aliniambia kapata kazi ya kuwa tingo(tanboy) wa magari makubwa ya masafa marefu. Hivyo basi kuna mahali amekwama kiasi kidogo cha pesa nimsaidie ili akanunue ovaroli la rangi ya karoti lenye mistari ya reflector na kiasi alichopelea ni...
  7. JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

    Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription. Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Je, soko la HISA ni utapeli?

    Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika. Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake? Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile? Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
  9. JamiiForums Tanzania Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango Britanicca
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya utapeli inalipa?

    Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya. Cc Boss la DP World
  11. JamiiForums Tanzania Numetumiwa ujumbe na Yas kuwa kuwa nimezawadiwa GB 8 bure, lakini 30 mbona sizioni kwenye salio?

    Mnatupeleka wapi Muache kututumia msg za ajabu enyi yas Kwanza mnaatuma msg weka hela kuanzia bk 2000 tar flan tunaweka bk 5 Hakuna cha zawadi wala mawadiiii Sasa mnantumia niimepata gb 8 hizo gb za wifi ama??mbona sizioni?????? EnyiYAS ACHANENI NA HAYA MA MSG TUMECHOKA
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wakamata Watu 9 kwa Utapeli Mitandaoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
  13. JamiiForums Tanzania Moo kapewa 49 ya hisa za simba kwa bilioni 20, hii ni dharau na utapeli

    Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
  15. JamiiForums Tanzania UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  16. JamiiForums Tanzania HOSPITALI ZIACHE UTAPELI

    Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili. Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa. Mfano ukienda gereji na gari lako, fundi akalitengeneza lakini likashindikana kuwaka unachukua gari lako free. Njia sahihi...
  17. JamiiForums Tanzania Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  18. JamiiForums Tanzania Ni Utapeli gani Mkubwa umewahi Kufanya/Kufanyiwa?

    Nazungumzia utapeli mkubwa kama vile kutapeli bandari au rasilimali kubwakubwa, either umefanya au umefanyiwa na je reaction ya wananchi ilikuwaje?
  19. JamiiForums Tanzania Hawa matapeli wa "Tuma kwa namba hii" wameanza kushughulikiwa. 21 wakamatwa kwa utapeli wa mtandao Morogoro

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata jumla ya watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na wizi na utapeli wa kimtandao unaojulikana kwa jina la “Halo Halo”, kufuatia operesheni maalum iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  20. JamiiForums Tanzania Mradi wa Mji wa Wakanda ulioahidiwa na mwanamuziki Akon nchini Senegal wageuka kituko na utapeli mtupu.

    Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…