Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni.
Kama ilivyo kawaida bodaboda tukiona Abiria huwa tuna mkimbilia, Sasa tulivyo mkimbilia yule jamaa yeye akakataa akasema...