utajiri

  1. Utajiri unamaanisha nini kwa kila kundi la watu

    Kwa watu wengi, utajiri ni kufanya kazi kwa bidii, kutunza pesa na kuwekeza kila utakapoona kuna fursa! Bahati mbaya hapa ndo mwanzo wa tatizo, Ili kuelewa chanzo cha utajiri swali la msingi ni! UTAJIRI NI NINI HASWA: Kwa wengi utajiri ni kua na pesa nyingi, mafanikio katika nyanja nyingi za...
  2. Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi

    Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia
  3. Ni kweli utajiri wa Kanisa Katoliki unatokana na Serikali?

    Wakuu, Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini? Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa...
  4. PostGE2025 Rais Samia: Maumbile yetu na utajiri wetu isiwe laana tukauana kwa kushawishiwa na wanaotolea macho nchi yetu

    Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi. Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu. Huu ni wakati wa watanzania...
  5. Watu 125 wana utajiri wa wananchi milioni 42

    Almost half of Kenya’s population lives in extreme poverty – on less than Ksh.130 per day – a new Oxfam Kenya report reveals. The report also shows that Kenya’s richest 125 people own more wealth than 42.6 million people, amidst deepening poverty levels. A report named Kenya’s Inequality...
  6. Wale mnaotaka utajiri wa ndumba na kuloga BBC wamewaletea solution

    Hii hapa documentary toka BBC ikielezea kuhusu ndoto za utajiri kupiti ushirikina. https://www.youtube.com/watch?v=EjDe1D8NlOY
  7. GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

    Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.
  8. Utajiri kwa nguvu za giza -occultism(kwanini masharti huwa magumu sana)

    Umewahi kujiuliza kwanini Matajiri au watu waliofanikiwa ni wachache Sana kwenye jamii?Je unafikiri kwanini wengi wanashindwa kuupata UTAJIRI?Kuupata UTAJIRI unahitaji NGUVU ziwe za kiroho (za Giza au za kimungu) Ili ufanikiwe.Kwenye Biblia imeandikwa Kumb 8:18 "nawe utamkumbika BWANA Mungu wako...
  9. Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
  10. Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

    Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako. Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na...
  11. Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  12. S

    David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Na Mwandishi Wetu, Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC...
  13. Kodi nyeusi (Black Tax) ni kizingiti kikubwa sana cha utajiri kwa kijana Mwafrika mweusi

    Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na ndugu wengine. Hali huwafanya waweze kutengeneza mitaji na uthubutu kufanya mambo mbalimbali hata ya...
  14. Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    INTRODUCTION:- Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!! Hebu twende hoja.. Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!! Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU. Hivi mtumishi wa umma anakuaje na...
  15. D

    Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  16. G

    Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa: “Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?” Mwaka 2015, waliamua...
  17. M

    Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  18. Tofauti kati ya fedha na utajiri

    Utangulizi Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri. Tofauti kati ya fedha na utajiri Fedha ni kiasi cha pesa mtu ambacho anatumia kila siku kwa mahitaji mbalimbal,lakin utajiri ni jumla ya vitu...
  19. Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti. Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin...
  20. Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…