utajiri

  1. Pakome

    Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
  2. K

    Checks and Balances: Funzo la Marekani kwa Taifa Linalomtegemea Mtu Mmoja Katikati ya Utajiri wa Madini

    Katika ulimwengu wa siasa na utawala bora, misingi ya demokrasia imara inasimama juu ya mhimili mkuu mmoja: uhuru kamili wa mahakama. Mahakama inayojitegemea haipo tu kwa ajili ya kutatua migogoro ya kisheria kati ya raia na raia, bali ndiyo ngao kuu inayozuia mamlaka ya serikali na viongozi...
  3. Mwl.RCT

    Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha

    Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha 1. UTANGULIZI Kuelewa siri za utajiri wa kweli na endelevu barani Afrika ni safari inayowatatiza wengi. Mara nyingi, tukitazama wafanyabiashara wakubwa, macho yetu huona matokeo ya...
  4. Chief Kumbyambya

    Nimetafakari sana mpaka nikagundua ndiyo maana hakuna mwanamke namba moja kwa utajiri na haji kutokea

    Hawa wanawake kazi yao ni kufilisi tu, jamaa zetu kule wacheza mpira wanamwaga jasho jingi uwanjani. Wanapambana mpaka wanakuwa mabilionea alafu wanakuja kufilisiwa na wanawake. Ndipo nikagundua sasa hawa Mungu aliwakataaga kitambo sana na ndiyo maana hakuna mwanamke mwenye utajiri akawa namba...
  5. Jitu la kienyeji

    Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha. Kama alivyowahi kusema...
  6. Hepatis B

    Tulizike na tunachokipata: Utajiri wa kwanza ni amani ya moyo

    Katika maisha haya, kuna jambo moja ambalo wengi wetu tunalifuatilia kila siku, lakini ni wachache wanaosimama na kujiuliza kama kweli tunalielekea kwa njia sahihi. Jambo hilo ni utajiri. Tunaamka asubuhi kwenda kutafuta pesa, tunafanya kazi kwa bidii, tunahangaika kutafuta maisha bora...
  7. F

    Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  8. Manyanza

    Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

    Wakuu ! Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
  9. MFALME WETU

    Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika. Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
  10. MakinikiA

    Utajiri nchini Zimbwabwe na siri yake..

    Baada ya ya kuwapoteza vijana wawili wenye ukwasi wa kupindukia. Ginimbi na Chivayo je nani tunategemea kumsikia akitingisha Zimbabwe na nchi za Africa ???
  11. bless on

    Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta." Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya...
  12. K

    I Wish Ningekuwa Wakili wa Sandaland: Jinsi ya Kumwanika Makonda Kwenye Sakata la NIKE, Utajiri Wake na Utata wa Jina la Bashite

    Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
  13. Red black

    Madhara ya kwenda kutafuta utajiri kwa waganga

    Niaje wakuu, haya ni baadhi ya madhara utakayopata ukienda kutafuta utajiri kwa mganga. Utapeli wa kifedha; Waganga wengi feki hutumia saikolojia ya hofu na tamaa kuwaibia watu kiasi kikubwa cha fedha kwa kisingizio cha "kusafisha nyota" au "kununua vifaa vya mizimu,sadaka Masharti magumu na...
  14. Mshana Jr

    Utajiri wa kutisha uliopo kwenye biashara ya jezi

    Huu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa wakati mmoja: 1. Faida kwa Kila Jezi Moja Bei ya kuuza (Wavaaji): TSh 30,009 Bei ya kununua...
  15. ChoiceVariable

    Kwa nini Nchi Zenye Watu Wachache na Eneo Kubwa Zinakumbwa na High Unemployment Licha ya Utajiri wa Rasilimali? Mfano Botswana,Namibia na S/Africa.

    Ukifuatilia Siasa za ndani za Nchi nyingi ambazo ni kubwa Kwa eneo na watu wachache zimekuwa na shida sana ya watu wake kukosa Ajira (High Unemployment) licha ya kwamba baadhi Yao au zote Zina Utajiri mkubwa wa Madini na Rasilimali zingine. Bila shaka hii inaonesha kwamba Rasilimali kuu ni watu...
  16. Davidmmarista

    Huu ndio utajiri wa kweli vitu vingine ni blablabla tu.

    Nikiangazia kutokana na msingi wa first principle of thinking: - Pesa ni token tu ambayo inatumika kama medium ya exchange na inawakilisha thamani ya vitu halisi. Lakini sio utajiri wenyewe. - Wealth(Utajiri wa kweli) ni: - Asset zinazoweza kufanya uzalishaji huku umelala. - Ujuzi ambao mtu...
  17. Lycaon pictus

    Utajiri wa Dangote wafika dola bilioni 50

    Baada ya kuingiza kampuni yake ya mafuta kwenye soko la hisa utajiri wa Aliko Dangote wapaa kutoka dola 30 bilioni hadi dola bilioni 50. Kila la kheri kwake, azidi kuwekeza Afrika.
  18. bless on

    Utajiri wa Musk: Miaka 14 ya Bajeti za Afrika Mashariki

    Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14 mfululizo! Yaani mtu mmoja ana hela ya kulisha, kuhudumia, na kuendesha nchi tatu nzima za Afrika Mashariki...
  19. M

    Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Ama kweli tunatofautiana. 😂 Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa. Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
Back
Top Bottom