Play it fair asiyekupa upendo na wewe usimpe upendo , anayekuchukia na wewe mchukie , anayejifanya hakuoni na wewe jifanye haumtambui .
Ila tu hakikisha unamfanyia mazuri yule anayekufanyia mazuri
Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
Imagine mtu amekuomba umtumie pesa. Wakati huo huna au unayo ila ilikuwa na kazi nyingine, utajiminya au utahangaika mpaka umtumie, lakini ikifika yeye hafanyi hata effort ya kukujulisha kwamba amepokea.
Unaweza kubaki na wasiwasi, ukidhani labda pesa haijafika, kuna tatizo la mtandao au...
Tufundishane ustaarabu. Mambo ya kufanya na kutofanya kwenye eneo fulani.
1. Kwenye Urinal.
Hupaswi kusalimia mtu. Ni marufuku kuangalia chini.
2. ATM.
Haifai kusalimiana salimiana.
Hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam, imekuwa ikilalamikiwa kutokana na watu kukojoa hovyo katika maeneo ya wazi, hali inayosababisha harufu kali ya mkojo na kuacha mazingira kuwa machafu.
Kuanzia Mbezi Mwisho hadi Stendi ya Magufuli, baadhi ya maeneo...
Wakati akizungumza katika hafla ya Baraza la Maulid Kitaifa 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi kushiriki katika masuala ya kisiasa kwa njia za amani na ustaarabu.”
Kuhusu misingi ya uhuru nchini Tanzania: "Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi...
Nimejaribu kuyatafakari yanayotokea hakika ni ustaarabu wa haki za kidemokrasia uliopitiliza,leo hii litokee hili kwa heche patachimbika!,japo ni makamu katika vyama vya upinzani
Nywele si mapambo tu ya kichwa Katika mitazamo ya kale ya Kiafrika bali ni kiungo cha kiroho, cha mawasiliano, na chemichemi ya nguvu ya mtu. Katika jamii nyingi za Kiafrika, nywele zilizingatiwa kama daraja kati ya ulimwengu wa mwili na ule wa kiroho. Hapo ndipo palipojificha siri kuu—kwamba...
Leo nimeshangaa sana eti aliyeiba kura, kuua watu na hatimaye kuingia madarakani kwa nguvu. Anatoa somo la ustaharabu, amani na utulivu.
Hii roho ya kishetani kweli na wala aibu ya dhambi haimo kabisa ndani mwake. Inawezekanaje unaongea hadharani kuhusu amani, utulivu uku wewe ukiwa umeua watu...
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo...
Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!.
iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!.
Naghafirika sana pale napoona...
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
Imekuwa ni kawaida sana hapa Tanania kuaibisha au kutania watu kwa nia ya dhati ya kuwaaibisha kwa maumbile yao ya miili
Mtu awe na pua kubwa ataitwa mapua, atataniwa pua yake kama nguruwe,
Mtu awe na masikio makubwa ataitwa popo, ataniwe masikio kama sahani
Mtu awe na lips kubwa ataitwa domo...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu...
Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara.
Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa:
“Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea,
anadai haikutimia et
jamaa nilimwamini tumezunguka sana hii jioni kutafuta chumba hatimae tukapata.
nimetoa kwa wakala nikamkabidhi laki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.