usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mkandarasi anayejenga barabara pale Mwenge mwambieni ajenge Usiku na Mchana

    Eneo korofi kama pale mwenge mataa! Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku? Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku? Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads! Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa...
  2. Once-in-a-lifetime experience: Sayari ya Mshtarii na Zohali zinatarajiwa kuonekana kama umbo moja usiku wa leo

    Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka duniani. Tukio hili linalotokea mara moja katika muda wa uhai wa mwanadamu linafanya sayari hizo mbili...
  3. U

    Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

    Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa Usisahau kumtaarifu mwenzako Tuna Jambo Letu
  4. Hivi usiku tunatakiwa kula chakula cha nguvu au chepesichepesi?

    Sijajuaga hii ishu. Watu wengi wanasema usiku tule vyakula laini laini. Lakini kuna hii ishu. Mtu akisha kula chakula damu nyingi inaelekea tumboni kusaidia ishu za umeng'enyaji na ufyonzaji wa msosi. Kitendo hicho hufanya damu inayoenda kwenye sehemu zingine kupungua. Damu inayoenda kwenye...
  5. Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli na kufanikiwa kujipatia mamilioni ya fedha kutoka kwa walimu kwa njia ya udanganyifu. Aidha...
  6. S

    Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi. Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
  7. Simu ya Usiku wa Manane yamaanisha nini?

    SIMU YA USIKU WA MANANE Leo Taikon sina maneno mengi, nianze kwa kuwasalimia wote, Kalagabaho! Sijui kama nakosea, lakini kama nikijiita mwenyeji wa mji wengi wanaweza kunikazia macho yao mabaya wakiniita Mjuaji. Najua siwezi kukataa kuwa wapo wenye miji yao ambao hawataniruhusu nijipe anuani...
  8. K

    Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake. 2. Mahakama kwa Tarehe...
  9. B

    Wamekuwa kama popo je leo usiku walipata usingizi au wameridhika kwakuwa ndio waliamua kustaafu

    Katika maisha lazima uhitaji hekima ya Mungu kutekeleza na kujibu. si vinginevyo
  10. J

    Matamko ya usiku kama tuko vitani hayana afya kwenye siasa

    Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la CHADEMA kuhusu Wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa. Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa. Msituchoshe jamani. Maendeleo hayana vyama!
  11. Kuelekea mchezo wa starz vs Tunisia usiku huu tuitafakari Commoros

    Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la kawaida. Timu yao ya taifa ilikosa hata friendly match kutokana na ubovu wao. Ila leo wanahitaji...
  12. Saa 6 usiku inatumika

    Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima. Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu, haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako saa 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na dada yake. Sasa mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na...
  13. Kenya inajengwa usiku na mchana - southern bypass to container depot link dual carriage

    Aisee hii bara bara hata hatukujua inajengwa -
  14. TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  15. Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)? Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
  16. Baada ya Kutuzimia kimya kimya, inasemekana kuanzia saa 6 na dakika 1 usiku wa leo mnatuwashia. Mimi nahitaji majibu ya maswali yangu

    Je, 1. Mlipozima mliagizwa au ni kiherehere chenu tu cha kutaka Sifa wana Ubungo Tower? 2. Hasara ambayo nchi hasa TRA imeipata na Makampuni mengine Makubwa nchini italipwa nanyi Ubungo Tower? 3. Kutuzimia Kwenu mnadhani mmefikia Lengo au wana Ubungo Tower mmeshadharaulika na Watanzania? 4...
  17. GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  18. Tigo na Voda mnatuibia kwa kutulazimishia bando za Usiku

    Nimeingia kununua bando mitandao yote kwa mtandao wa Tigo kama kawaida kwa kupiga *147*00# na voda *149*01#. baada ya kubonyeza button ya mwisho nikapokea kifurushi cha mwezi lakini kimeandikwa kitakuwa kinatumika kuanzia saa 4 usiku hadi saa 11:59 asubuhi. Huu ni wizi mkubwa kwa sababu...
  19. M

    Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

    Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
  20. GE2020 NEC: Matokeo ya Urais yataanza kupokelewa kuanzia usiku wa leo kutoka kwenye Majimbo

    Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kupokea matokeo ya kura za urais kutoka kwenye majimbo. Dk Mahera ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na Mwananchi Digital kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…