usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

    Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupanda mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
  2. M

    Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

    Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana. Hata hivyo nina...
  3. L

    Changamoto za barabarani usiku mkubwa

    Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini. Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
  4. Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

    Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku ==== TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku. TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni...
  5. Ukweli uliofichwa makusudi

    UKWELI ULIOFICHWA MAKUSUDI Kuelimika siyo kufaulu kwa vyeti vya alama za juu, bali kuwa na uwezo wa kuhoji mambo na kuyaelezea katika upeo mwingine wa uelewa. Wakati nasoma moja ya shida nilikuwa napata ni kutopewa nafasi ya kuekezea mambo niyoaminishwa kwa namna nilivyokuwa nikiyaona mimi...
  6. Mdomo huwa unaanza kunuka wakati gani?

    Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
  7. Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  8. Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

    Wana bodi, naomba niwapashe habari ya tukio la hatari sana nililokutana nalo siku chache zilizopita. Kweli Waswahili hawakukosea waliposema: "duniani kuna mambo... tembea uone." Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi...
  9. Ogopa sana mwanaume ambaye anachati nawe mpaka saa 8 Usiku

    Kama kuna mwanaume ambaye mmekutana online na anaweza kuchat nawe mpaka saa nane usiku basi jua kua huyo mwanaume si wako, anaweza kuwa mume wa mtu au ana mpenzi wake ambaye anampenda na wewe ni kama dawa yake. Huyo mwanaume ni mgonjwa na nikuhakikishie, narudia najua mnadhani mnapendwa lakini...
  10. Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

    Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi. Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa. Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu...
  11. Mainjinia wa Maji wa Mikoa watakuwa wameenda field usiku huu kuhakikisha sehemu zote hatuna shida ya Maji

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kuna watu usiku huu hawatalala ni Mainjinia wa Maji na wilaya katika mikoa mbalimbali nchini, kauli ya Rais, Mama Samia kuwahusu itawakosesha amani kabisa hasa kama kwenye maeneo yao ya kazi kuna miradi inasuasua. Joto lao wengi...
  12. Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

    ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera. Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la...
  13. M

    Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  14. Sioni vifurushi vya usiku katika menyu za mitandao ya simu, au navyo ndiyo kwaheri?

    Habari zenu wanajukwa. Naomba kujua vile virushi vya kuanzia saa sita usiku vilikuwa vinalundo la dakika, sms na mb havipo tangu bei za vifurushi kupanda? kama vipo vinapatikana kwa menyu zipi kwa mtandoa wako unaotumia.
  15. Kwanini ngumi zinachezwa usiku wa manane?

    Mimi ni mshabiki mzuri wa ngumi. Hivi karibuni kumekua na mwamko mkubwa wa ngumu za kulipwa nchini. Shida kubwa inakuja pale panapokua na pambano zuri lakini muda unakua sio rafiki kabisa. Tukiangalia ngumi za Marekani ambazo nyingi wanapigana Las Vegas huwa zinakua masaa ya alfajiri kwetu. Kwa...
  16. Usiku wa Vitasa, Kiduku Vs Hannock Phiri

    Kutakuwa na bouts nane. Wako wapambanaji kutoka Congo, Malawi n Uganda Bouts Boxers: Halima Bandola Vs Naji Isike Rounds: 3 Winner: Halima Bandola Boxers: Emmanuel Elias Vs Justine Mohamed Uzito: Super feather Rounds: 6 Winner: Emmanuel Elias Boxers: Charles Chilala Vs Mohamed Kashinde...
  17. J

    Natumai mbobezi wa sheria Profesa Kabudi atatudadavulia namna Nusrat Henje alivyotoka jela usiku na asubuhi kuwa mbunge!

    Nikuombea tu Waziri wa katiba na sheria Prof Palamagamba Kabudi utuwekee sawa hili la mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA Nusrat Henje namna alivyoupata ubunge. Hili swala lina utata mwingi na ni doa kubwa kwenye chombo kitukufu kama bunge tena kinachoongozwa na daktari wa sheria Tulia...
  18. Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Kwa mjibu wa TCRA, mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021. Pia mitandao itawatarifu watumiaji wake mabadiliko hayo. Baadhi ya mitandao unachanganya taarifa hizo kwa mfano rejea hapa. Vodacom Tanzania Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi...
  19. Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  20. M

    Ni kwanini Kitaalam inashauriwa unapoenda Kulala Usiku ndiyo uhakikishe Unajamba sana ikibidi hata Kuutafuta na Mjambo wenyewe kama uko mbali?

    Kuna Mtaalam Mmoja wa Masuala ya Lishe nimemsikia mahala akisema hili ( haya ) huku akihimiza mno kuwa tunapoenda Kulala Usiku ndiyo tujitahidi tuwe tunajamba sana ( mno ) akisema kuwa Kiafya kwa Nyakati hizo ina Faida zaidi. Je, hii ina ukweli? Ina Manufaa gani pia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…