usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umeshtuka usiku umekutana na rafki yako wa karibu anakuroga na ukamuona usoni je kesho utamkumbusha !?

    Nimemuona mchawi namjua Ingekuwa ww ungemfata asubuhi !?
  2. C

    Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

    Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
  3. Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
  4. Mliowahi kupata ajali mliwezaje kurudi kwenye maisha yenu ya kawaida bila kuweweseka usiku?

    Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
  5. TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  6. N

    Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

    Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali...
  7. S

    Hivi Azam katika taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku huu, wameonyesha uwepo wa wakilishi wa Mabalozi wa Nchi za nje?

    Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi. Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
  8. M

    Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

    "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
  9. Safari za mabasi usiku kusitishwa: Changamoto ni nini?

    Habari wanabodi! Hivi karibuni tumeona baadhi ya watoa huduma za usafirishaji abiria kuendelea kutatuna huduma zao na kuwa wabunifu kwa kuanza safari za usiku na kufika asubuhi. Lakini ghafla tukaona safari zimesitishwa kwa taarifa wamezuiwa na mamlaka husika. Tumeona kampuni ya KAPRICON...
  10. M

    Jana nimeona BBC Swahili usiku wakizidi kuudhalilisha upinzani Afrika

    Kikeke alimuuliza swali repota wake kutoka Dar kuwa huyo rais wa Zambia je unadhani atashirikiana na viongozi wengine wa vyama tawala ambavyo ni vya ukombozi akiwa na maana vyama kama CCM, ZANU PF na ANC. Jamaa wa BBC akajibu kuwa ni swali zuri sana hila siwezi lijibu mpaka tuje tumuone...
  11. Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

    Habari wakuu! Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha! Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda! Msaada wenu tafadhali wapi naweza...
  12. M

    Wanafuraha wanauhakika wa ushindi usiku huu

  13. A

    Msuva vs Chilunda uso kwa uso leo usiku

    Habari za Jioni wadau. Leo usiku saa tano nchini Morroco nyota wa Kitanzania, SIMON MSUVA anayeichezea Wydad casamblanca na Shabani Chilunda anayeitumikia timu ya Moghreb Tetouan zote za Morroco. Wataziongoza timu zao zinazotarajia kucheza leo kwenye michuano ya kombe maalum. Wydad ndiyo...
  14. RC Makalla, Mwamposa anamaIiza ibada 12 jioni, kuna Kanisa wanatoka saa 6 usiku huko Temboni mpo kimya! Tutaponaje na COVID-19?

    Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku Vibaka walijazana sana sana wakaripoti husika, dk anaenda sawa 6pm kwenu Kuna kanisa Temboni Mh. Makalla, watu...
  15. Leo ni Siku ya 3 mfululizo nyakati hizi za Usiku hadi Alfajiri nasikia Ving'ora tu katika Hospitali Kuu ya 'Kimedani' Mkoani Dar es Salaam Kulikoni?

    Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea. Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.
  16. Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

    Kampuni ya Kilimanjaro Express kuanza karibuni safari zake za usiku Kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa kwenye ukurasa wake wa twiter, Huduma ya usafiri itaanza saa 2 Usiku kuanzia Dar-Moshi-Arusha Kwa mujibu wa afisa wa Kampuni hiyo ambaye nimeongea naye kwa njia ya simu, amethibisha kuwepo...
  17. Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

    Wakuu Kwema! Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani. Mwaka Jana niliota ndoto ya namna hii hii lakini nikashindwa kuipandisha hapa kutokana na sababu...
  18. Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

    Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi . Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa...
  19. Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

    1. Alaska Hiki ni kipande cha ardhi kilichokuwa siku za nyuma chini ya himaya ya Urusi kabla hajakiuza kwa Marekani, lakini Marekani walikinunua na kuwa sehemu ya ardhi yake. Kisiwa hiki pia huitwa kisiwa cha vijito vizuei vya barafu . KWENYE kisiwa hiki, sehemu zake nyingi jua halizami...
  20. Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…