usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  2. Uzi wa mawazo ya usiku

    USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA. Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje. Kuna muda mtu...
  3. W

    KERO Diwani aamshwa usiku kuonyeshwa taka zilizorundikana kando ya barabara Kibosho

    Hayo ni miongoni mwa maneno yaliyotamkwa na mkazi wa Kata ya Kibosho Mashariki, John Massawe, wakati akimweleza Diwani wa kata hiyo, Steven Massawe, hali ya taka zilizotupwa katika eneo la barabara ya Mweka, barabara inayotumiwa na wageni wanaposhuka kutoka Mlima Kilimanjaro. John alizungumza...
  4. A

    KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  5. OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  6. Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

    Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa tarumbeta zetu ambazo tunaziita SHOFAR,pamoja na kula mikate yetu ambayo hatuweki hamira,hukandwa tu kwa...
  7. Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

    Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake. Chukua maganda ya ndizi mbivu 4 Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika Chemsha hadi...
  8. S

    NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  9. M

    Ambulance ya kituo cha afya Muganza yawekewa matairi usiku ili Viete ya Ded irudi

    Mpaka wachimbwe mkwara👇
  10. M

    Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  11. Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Wakuu, Kuna ndugu wa LISSU hapa anadai kua 'Lema na Mbowe, ndio walikua wanamtembelea LISSU majira ya usiku !!!
  12. A

    KERO Hapa Mbuyuni-Salasala, Dar kuna baa mpya inakera kwa kelele mpaka usiku wa manane

    Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani. Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
  13. Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  14. Usiku wa henna; Mama dangote na Khadija Kopa wafanya kweli kwa zuchu kuziba vijimaneno vya waja

    Katika kuonyesha mshikamano na kuvunja uvumi wa mara kwa mara kuhusu uhusiano wao, mama mzazi wa msanii Diamond Platnumz, Sanura Kasimu (Mama Dangote), pamoja na malkia wa Taarab Khadija Kopa na binti yake Zuchu, waliteka hisia za waalikwa baada ya kujumuika na kucheza kwa furaha ya pamoja...
  15. A

    KERO Daladala za Mwanza zinatabia ya kukatika route, tunaomba mamlaka zifuatilie kero hii

    Imekuwa ni tabia ya muda mrefu kwa baadhi ya daladala jijini Mwanza kufupisha route nyakati za usiku, hali inayowaacha abiria kwenye maeneo ambayo siyo vituo vyao vya mwisho. Kwa mfano, jana nilipanda daladala kutoka Kiloleli, ambapo konda alieleza kuwa gari hilo linaishia Kona ya Bwiru. Hata...
  16. K

    Lissu kiboko ya majinga majinga ya ccm hasa yanayoenda usiku gerezani.

    Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu...
  17. Q

    Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

    Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
  18. M

    Mhariri Msaidizi wa Standard Group nchini Kenya, Alex Kiprotich adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2026. Apatikana salama

    Mhariri Msaidizi wa Chombo cha habari cha Standard Group cha nchini Kenya, Alex Kiprotich ametekwa usiku wa kuamkia leo na watu wenye silaha wasiojulikana.Taarifa iliyochapishwa na ukurasa wa chombo hicho cha nchini Kenya imesema kuwa Mhariri huyo ametekwa akiwa kwenye gari lake katika barabara...
  19. Saa Sita Mchana: Muda Hatari Zaidi Kuliko Usiku wa Manane!

    Acha kuogopa usiku wa manane! Muda wa hatari zaidi wa kupoteza akili, kufanya maamuzi ya hovyo, au kupishana na majini si saa saba usiku... Ni SAA SITA KAMILI ZA MCHANA! Unadhani wazee walikukataza kuzurura njia panda au chini ya misonobari muda wa mchana kwa bahati mbaya? Hii hapa siri ya...
  20. Chausiku kala cha usiku

    Jadili kwa muktadha wa kisiimkasi ndani ya Tangananyika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…