ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Chifu Butale: Chifu ni Sauti ya Mungu, Uchifu siyo Ushirikina au Uchawi bali ni Ukuhani na Utume

    Mwenyekiti wa machifu wa Wasukuma Chifu Butale yuko mubashara Star tv akitolea ufafanuzi mjadala uliopamba moto nchini wa nafasi ya chifu katika taifa. Chifu Butale anasema uchifu siyo ushirikina au uchawi bali uchifu ni uwakilishi wa mungu yaani ni utume na ukuhani. Chifu Butale anasema yeye...
  2. Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  3. Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
  4. Nijuavyo Machifu na taratibu zao ni 100% Ushirikina je, Wanasiasa tukianza Kuwaamini na Kuwasikiliza nasi hatuwi pia wapenda Ushirikina?

    Nasubiri majibu yenu juu ya nililouliza kwani nami GENTAMYCINE kama Mwanasiasa na Mgombea Urais mtarajiwa wa 2025 nataka kujua ili kama vipi nami niende kwa Machifu wa Unguja na Pemba 'wanitambikie' ili nianze kuwa na Mvuto kwa Watanzania na niwe Rais kwani Ikulu 'Kunanoga' mno.
  5. M

    Hivi Rais Samia anavalishwa kweli Majoho ya Kimila au anafanyiwa tu Ushirikina uliochangamka kutoka Mwanza na Dodoma?

    Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea. Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
  6. Hizi ndizo dhambi kubwa

    Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni. Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja. 1-uzinzi 2-mauaji 3-dhulma 4-ushirikina miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
  7. R

    Je, kwa matendo haya ni imani za kishirikina?

    Huyu mama Mdigo, several times weekly, anaamka usiku saa 10 anaanza kufagia uwanja, tena kwenye giza totoro bila taa, Je tafsiri yake ni nini? Nadhani ana imani na ushirikina fulani. Ebu wadigo please tufafanulie kufagia usiku, tena kwenye giza kuna maana gani? Mnaamini nini katika hilo? Pili...
  8. Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

    Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo. Na nikapata amani kubwa...
  9. SoC01 Tuorodheshe ushirikina kwenye ile vita ya Maadui Watatu...yaani sasa iwe Vita dhidi ya Maadui Ujinga, Umasikini, Maradhi na Ushirikina

    Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza. Kama haitoshi...
  10. Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  11. M

    Rais Samia baada ya Kuukubali na Kuutambua Uchifu Tanzania basi nakuomba uyakubali na yafuatayo

    1. Matambiko ya Kimila 2. Uchawi / Ushirikina 3. Utani wa Makabila MATAMBIKO YA KIMILA Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka ) Kwa mfano Kabila langu ukiona uko Mjini na Maisha hayaendi yakupasa kurejea kwa Wazee kisha unakogeshwa...
  12. Ushirikina unaongezeka kwa kasi kubwa duniani

    Changamoto za maisha zinazidi kuikumba dunia. Kisiki cha ajira ni mfupa uliowashinda hata mataifa yaliyoendelea sana kiuchumi Shortcut nyingi za madawa, silaha, vikundi vya kigaidi na umafia wa namna zote vimedhibitiwa kwa kiwango kikubwa. Ni kama sasa dili zile kubwa kubwa zimetoweka na hata...
  13. Ubakaji na ushirikina

    Habari wana jamvi. Kuna matukio mengi yanatokea hapa nchini mengiyo yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Nizungumze kidogo ubakaji. Kuna matukio mengi tunayasikia yanayohusu ubakaji tena wa watoto wadogo na watoto wachanga. Maswali hapa je huyu mbakaji anatafuta kile kinachopatikana kwa...
  14. Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  15. Uzembe wa Askari kulenga shabaha na kupoteza risasi 49 unaposingiziwa ushirikina

    Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika. Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo halafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia...
  16. M

    Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  17. Unaamini katika uchawi? Tushirikishe uliyowahi kukumbana nayo

    Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences Wasalaam, Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa. Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
  18. Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Uliwahi kurogwa? Uliwahi kuroga? Una chale mwilini? Ulisimuliwa tuu? Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka? Ulishawahi kudalaliwa? Ulishawahi kutapeliwa? Una hirizi? Ulishawahi kunyweshwa kombe? Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini? Ulishawahi kuvunja nazi njia panda? Nknk Uzoefu...
  19. M

    SoC01 Tuachane na ushirikina, uchawi tupate maendeleo

    Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
  20. Ufahamu mdogo Magonjwa ya Akili kuhusishwa na Ushirikina

    Na Joshua Deus Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao. Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…