ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

    Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza. Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli...
  2. hp4510

    Ushauri Wangu Kwa Serikali Yangu ya Tanzania

    Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta maendeleo Kwa Sisi watanzania Changamoto ambayo mm naiona na nataka kushauri ni kwenye upande wa...
  3. A

    Nawezaje kutatua tatizo hili la AVN

    Nilijirejista kuangalia AVN number yangu na ikafika kweny kipengele Cha kuangalia information zangu Kama ziko sawa nikajiridhisha kuwa zipo sawa nikabonyeza continue lakini mtandao nahisi ulikuwa unasumbua ivyo ikaja blank page Haina kuti. So nikaamua kurudi nyuma na iliporudi kuingia tena...
  4. February Makamba

    Ushauri jamani, nimeshaharibu sinunui tena vitu used

    Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie. Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba. Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea...
  5. R

    Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  6. Thailand

    Naomba ushauri kwa hili wakuu

    Deleted
  7. kyagata

    Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
  8. Natafuta Ajira

    Wajuzi wa masuala ya ujenzi naombeni ushauri wenu

    Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...
  9. dracular

    Ushauri wa kitaalam unahitajika

    Habari za majukumu ndugu wajumbe wa JF. Pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja.. Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je, ni yupi anaweza kuwa mke bora kati ya hawa wawili? 1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado...
  10. T

    Ushauri: Simba SC isihofie mabadiliko ikiwa inataka kufika mbali kisoka katika bara la Africa na duniani kwa ujumla

    Ahlan Ahlan bik Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc. Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus nchini ugiriki .Jiioni nikiwa naitazama bahari ya meditterenian katika kitongoji cha Freattyda nikawa...
  11. Mr George Francis

    Ninayempenda ameshaoa, anayetaka kunioa simpendi

    Naona ushauri, Kwa jina naitwa Yusrath Mohamed. Mimi ni Binti mwenye miaka 19 kwasasa. Nyumbani kwetu sio matajiri na wala sio masikini bali ni maisha ya kawaida. Inshort mimi sio mtoto wa kishua. Baba yangu ni mwajiriwa wa serikalini na mama yangu ni mama wa nyumbani. Mimi ni mtoto wa tatu...
  12. B

    Ushauri kuhusu sensa ya mwaka huu 2022

    USHAURI KUHUSU SENSA YA MWAKA HUU Wasalaam ndugu zangu. Nikiwa kama mwananchi nilikuwa nashauri jinsi mchakato wa sensa ulivyo mwaka huu. Mchakato wa mwaka huu ni mpana na mrefu kitu ambacho kimefanya uhitaji wa makarani kuwa wengi na bajeti pia imekuwa kubwa. Kitu kingine ni kuhusu maswali...
  13. R

    Ushauri kwa CHADEMA: Mwenyekiti Mbowe na wenzako, mumshirikishe Ansbert Ngurumo kama one of your think tank

    Mumshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za katiba mpya na Tanzania mpya mnayoitafuta! Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia, katiba mpya! https://www.jamiiforums.com/threads/sikiliza-busara-za-ansbert-ngurumo-kutoka-juu-ya-funzo-kutoka-uchaguzi-wa-kenya.2011259/...
  14. chongoe

    Nataka kufungua biashara ya cable tv ushauri wako

    Naomba ushauri nini na nini nifute ili nisiwe hatiani nipo Mafia
  15. R

    Ushauri wa Bure kwa Waziri Ummy Mwalimu kuhusu NHIF

    Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo . Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
  16. vnn

    Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  17. K

    Naomba ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gas asili kwenye gari

    Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000. Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo? Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama? Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu? Pia kwa yoyote mwenye...
  18. S

    Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  19. M

    Naombeni ushauri, mwanamke wangu ana ujauzito lakini hajui baba wa mtoto ni nani

    Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana. Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata...
  20. Gobole Lenye Risasi

    Nashauri watu wasiende bar na vyombo vya usafiri, wakodi au watumie usafiri wa Umma

    Bar kusiwe na parking... Watu waende bila magari wanyweeeeeeee wakizidiwa waite usafiri uwarudishe kwao. Hii itasaidia ajali zinazotokana na ulevi. Mtu anakunywa then ana drive.... Natizama hapa jamaa kadhaa wameshaanza kulewa muda huu... Mmoja amening'iniza funguo kiunoni (atakuwa...
Back
Top Bottom