ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri: tuondoe mabaraza ya madiwani kwenye majiji na badala yake zianzishwe mamlaka za usimamizi za majiji, matokeo yatakuwa makubwa sana.

    Kwako Mhe Rais wa JMT, Mhe.Waziri Mkuu Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano, Natanguliza pongezi nyingi kwa kazi kubwa mnayoifanya ambayo matokeo yanaonekana kila mahali ambayo inaleta tabasamu la matumaini. Nawapongeza zaidi kwa hatua mbalimbali za kuleta...
  2. BIOTOXINS

    USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  3. B

    Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
  4. N

    Ushauri: mwanangu ananyang'anywa shamba alilopewa na babu yake

    Baba mkwe wangu alifariki mwaka 1993 mwanangu akiwa na miaka 9. Alimpa mwanangu shamba kwa sababu alikuwa ni wajina wake. Eneo hilo halikuguswa na yoyote kwa sababu siku zote linajulikana ni la mwanangu.. Pia alimpa mjukuu mwingine mtoto wa mke mwenzangu eneo ambalo pia halikuguswa. Mwaka juzi...
  5. Shaiba

    Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  6. julaibibi

    Ushauri kwa makampuni ya maziwa tanzania

    Nchini Tanzania, kiwango cha unywaji wa maziwa kwa sasa kinakadiriwa kuwa kati ya lita 47 hadi lita 70.5 kwa mtu mmoja kwa mwaka, kulingana na takwimu za serikali na sekta binafsi. Kiwango hiki bado kiko chini sana kikilinganishwa na mwongozo wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na FAO...
  7. VENKO

    Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Habari za wakati wanaJF watukufu. Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga, Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru...
  8. sam green

    Noamba msaada na ushauri ndugu zangu

    Habari, wakuu, naomba ushauri kwa jambo langu, hapa ambalo naona linaenda kutokea hivi karibuni, Nimeajiliwa sehemu flan nafanya kazi, nimeajiriwa, toka mwaka 2016, had leo hii Maisha yako safi tu, sasa nimefanya kazi kwa, muda 2016-2022 kwa malipo ya mshahara, Tukaingia 2023 tukaweka...
  9. Kazanazo

    Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
  10. mcTobby

    Ushauri wangu kwa Mossad na Israel kwa ujumla

    1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia katika kujilinda wakasahau na huku Afrika. Serikali ya Israel isijiamini sana kwamba serikali za nchi...
  11. M

    Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Habarini za wakati huu wanajamii forum. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa . HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano) Mwaka 2020...
  12. Pdidy

    Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  13. Rombo 14

    Ushauri: Accounting/Transport vs Banking/Finance

    Habari zenu Naulizia hapa wapi panafaa niende kusoma na penye unafuu wa soko la ajira Bachelor degree in accounting and transport finance-NIT Bachelor degree in Banking and finance -CBE
  14. 4

    Ushauri :ukiona upo karibu na viongozi wengi then unajisifu upo na connection jua hu mpumbavu

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf. Rejea mada tajwa hapo juu, Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima...
  15. Zack Abdul

    Ushauri Usioombwa: Kuingilia Maisha Binafsi

    Wale wachambuzi wa maisha ya watu, wanaopenda kuingilia maamuzi binafsi ya watu kwa ushauri usiohitajitaka wala kuombwa wanasema, “Kuwa na angalau kaulevi kamoja. Inasaidia.” “Mtu gani unakuwa na maisha perfect and you have everything under control? Unaishije? Pombe zimekushinda. Kahawa nayo...
  16. K

    Diploma ya clinical medicine: md miaka 5 au amo miaka 2—utachagua ipi?

    Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je, utachagua kwenda kusoma MD 5 years au AMO 2 years!? Na ukijaribu kufuatilia maslahi unaambiwa AMO...
  17. min -me

    Ushauri tafadhali

    Nilikua bongo bar moja nakula pombe zangu , mara paa likaibuka tukunyema , matumbo na tako lipo , nikalinunulia pombe na nyama 🤔 Nikarudi hapo redstone zaidi na zaidi kwa sababu nilikua nimetulia tu najenga makaburi ya wazee wangu. Sasa nikazoeleka hapo , nasikia skendo kwa wateja wa kike na...
  18. Mad Max

    Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
  19. prida

    Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uzi🙏🙏 Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  20. Bigmaaan

    USHAURI KWA DUDUBAYA: Anzisha Taasisi ya Malezi ya vijana wa Kiume.

    Habari wakuu? Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak. Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana...
Back
Top Bottom