ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni ushauri

    Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno . Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha.
  2. F

    PostGE2025 Ushauri: Maridhiano yangefanyika baada ya Uchaguzi Mkuu kutangulia

    Kuna watu wanaodai kwamba Tundu Lissu akiachiwa huru , maridhiano yatafanyika, hili si kweli. Maridhiano kati ya wananchi na serikali huwa ni Uchaguzi mkuu, hiyo ipo kikatiba kabisa. Maridhiano ni Kwa wananchi wote si CHADEMA na CCM pekee, Ili pawepo maridhiano, ni tufanye reforms Kwa katiba...
  3. Ushauri wenu wakuu, tayari kamesha vuruga mambo tena

    Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka. Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee..... Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...
  4. Moja ya ushauri Bora sana kutoka kwa dada na mama yetu kipenzi hakika yuko real sana

    Zingatia paragraph ya mwisho Cc leo dada
  5. A

    Naomba ushauri juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari za wakati huu, Hapo eneo moja lililopo Dodoma mjini kuna Mama aliuziwa kiwanja miaka ya tisini huko kama sio mwanzoni mwa elfu mbili hivi. Sasa akajenga kijumba kidogo cha kuanzia maisha kisha mambo mengine yatafuata mbele, na hapo mtaani eneo karibu lote wameuziwa viwanja/ mashamba na...
  6. Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  7. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  8. Ushauri wa kuchukua kabla hauja Gusa button ya kuhama mji kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.

    Jumapili karmu Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago: 1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa 2. Andaa...
  9. M

    Ushauri wa Waislamu waliopo club ya Simba

    Sidhani malumbano ya Mangngu na Dewji watakusaidieni. Tuache kupoteza muda ktk kutumia nguvu, akili na muda mwingi kujadili malumbano. Tuutumie muda wetu katika kuitafuta akhera yetu badala kutumia muda kulumbana ktk vitu ambavyo ukifumba jicho havikusaidii kitu. Nawashauri tuachane na haya...
  10. Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

    Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu... Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂 Leo nimekajaribu kwa salam.. Mimi: mambo Yeye: niko poa kabisa Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
  11. Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

    Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi...
  12. Mpe ushauri huyu dada!

    Naomba mpe ushauri huyu dada!
  13. Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

    "Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi. Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea...
  14. M

    Ushauri kwa Sheikh Alhad

    Ushauri kwa sheikh Alhad. Moja ya jukumu la Sheikh ni kutoa elimu ya dini, kusomesha vijana, watoto na watu wazima. Kusomesha sira, hadithi, Quran tukufu au vitabu mbali mbali vya dini. Njia kuu ni kutenga muda kama masaa 2, saa 1 either kukaa msikitini kusomesha, madrasa au hata nyumbani au...
  15. R

    Ushauri kwa CHADEMA na Lissu

    Bwana Lisu, usiache kula, kwa vile 6.11.2026 ni hukumu, let us wait for the hukumu, then from there, you and Chadema and all Well Wishers can decide the way forward! Ni hilo tu kwa leo!
  16. DKT. KIKWETE APONGEZA HUDUMA YA MAJI CHALINZE, AIPA USHAURI DAWASA

    Rais mstaafu, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuangalia uwezekano wa kujenga Bwawa Dogo eneo la Wami, litakalosaidia kuongeza upatikanaji wa maji Chalinze ifikapo mwaka 2030 hadi 2050. Akizungumza baada ya...
  17. Inaonekana kama ubinafsi mpaka pale utakapoona kiasi cha amani ambacho ushauri huu utakurudishia

    Huu ni ushauri murua wa kiroho utakaokuzindua hisia 1. Kuwa mbinafsi na nguvu/nishati yako. Mimi Ilinichukua miaka mingi kujifunza hili: Acha kuwa entatain watu wanaokupa makombo tu. Kilichokusudiwa kwa ajili yako hakitahitaji kutumia ili kije kwako, kwa hiyo ikiwa hakiendi vyema...
  18. A

    HOJA Ushauri kwa Baraza la mitihani Tanzania(NECTA): Maafisa Elimu Kata (waratibu elimu) wasiruhusiwe kusimamia Mitihani ya Taifa

    Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim. CASE STUDY katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za...
  19. Huu ndio ushauri niliompa shemeji yangu baada ya kuniambia anaujauzito

    Kwanza nimemkuta anahuzuni sana..... Nikamuuliza, shemeji kwamba tatizo nini..?? Akanijibu kwamba Peter kampa ujauzito. Sasa mimi nikamwambia kwamba.... kama Peter alimkana Jizas mara tatu, hiyo mimba ataikubali kweli...🤔 Au nimemshahuri vibaya wakuu....🙄
  20. R

    Ushauri gani unaoweza kumpa mtu anayeanza kujenga?

    Habari Wakuu, Nimeona niulize hili swali maana wengine bado tupo kwenye nyumba za kupanga mara wengine kwa wazazi lakini purukushani zinatufosi tuwaze au hata tayari tumejipata tunataka kuanza kujenga. Pia Naamini wapo ambao tayari wapo kwenye nyumba zao hivyo wana uzoefu sana katika masuala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…