usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Usalama wa Taifa msitupotezee pesa zetu kufuatilia wanasiasa

    Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
  2. T

    GE2020 Akili nje ya Usalama: Undeni special unity kufuatilia maudhui ya mikutano ya uchaguzi 2020

    Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake. Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu kujinadi. Ila nawaza ikiwa idara zetu zimejiandaaje kwa uchaguz wa mwaka huu ambao utakuwa tofauti...
  3. T

    Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

    Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo katika mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lissu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa. Mimi nataka kuwaambia Lissu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza katika historia...
  4. Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

    Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa. Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
  5. Usalama wa Tundu Lissu ataporejea Tanzania

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani. Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu...
  6. L

    Kwenu Kikosi cha Usalama Barabarani na TARURA

    Yah! Barabara ya External-Maji Chumvi-Kwa Mkuwa-Korogwe Kichwa cha habari cha husika. Kwa masikitiko makubwa sana, naleta kwenu ombi la kuweka vibao vya spidi ya vyimbo vya moto. Barabara hii imekuwa na Ajali nyingi zinazotokana hasa na spidi, ingawa kutoka Korogwe-kwa Mkuwa- Maji...
  7. Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  8. Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia. Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani? Nisaidieni kwa hili.
  9. Ni kwanini Commando huwa ni jasusi mzuri kuliko yule mtu wa kawaida tu aliyepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa?

    Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa...
  10. Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

    Hii ni orodha ya mataifa yalivyojiandaa kiusalama kwenye masuala ya mitandao, sasa kuna baadhi ambayo yamekaa hovyo yaani wataalam huko wamelala usingizi kwamba udukuaji huko unaweza kufanyika kizembe tu bila kutumia nguvu nyingi, yamejianika na kuachia kila kitu, mataifa yenyewe haya hapa...
  11. J

    Prof Kabudi: Tanzania tuliipigia kura Kenya Baraza la Usalama UN. Wametushukuru, nasi tumewaambia hapana ule ni wajibu wetu kama ndugu!

    Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN. Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  12. Boat GPS Tracker iwe suluhu ya uporaji wa injini za boti na usalama wa wavuvi

    Wavuvi na watumiaji wengi wa boti zenye injini wamekuwa wakipata nyakati ngumu za kuporwa injini zao na wengine kujeruhiwa Kesi nyingi za kuibiwa injini za boti ni katika ziwa Victoria, ambapo wavuvi huvamiwa na kuporwa injini za boti. Ni boti chache zenye marine GPS kwa ajili ya uongozaji na...
  13. Je, Kenya italeta manufaa gani kwa Afrika baada ya kujipatia kiti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

    Kenya imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda Djibouti katika awamu ya pili ya kupiga kura Alhamisi. Hii inamaanisha kuwa kuanzia Januari 2021, Kenya itarejesha uwepo wake utakaodumu kwa miaka miwili katika asasi hiyo ya...
  14. Askari usalama barabarani (Traffic Police) ni halali kupokea rushwa?

    Kwanza nichukue pongezi kuubwa kwa Mheshimiwa Brigedia John Mbungo kuteuliwa kuwa mkuu wa Takukuru baada ya kukaimu nafasi hiyo kwa muda mrefu. Lakini pia kwa kuonyesha kazi nzuri. Pamoja na mafanikio hayo bado rushwa ni tatizo kuubwa ndani ya jeshi la Polisi hasa idara ya usalama barabarani...
  15. John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

    Habari! Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House. John Bolton. Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
  16. Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  17. Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa ni Kina nani?

    Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma. Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania. Nimejiuliza 1. Hilo baraza lina watu wa namna gani 2. Kina nani ni member wa hilo baraza 3. Muundo wa baraza...
  18. S

    Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  19. Hili la Rais mstaafu Mkapa kufanyia vikao vya baraza la usalama la taifa mjini Dodoma enzi za utawala wake ni kuwa ikulu ya Magogoni haiaminiki!

    Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma. Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
  20. Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanza ichunguzwe kwa kushindwa kutoa ulinzi na kwa kumsusa ndugu Waitara, Naibu Waziri

    Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi. Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…