usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabeji

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa. Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power. Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
  2. C

    Aliyekuwa mkuu wa usalama barabarani Dar es laam asimkwa kuwa Mchungaji

    Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Marison Mwakyoma, ameingia katika huduma ya kichungaji katika kanisa la Kanisa la Evangelical Brotherhood baada ya kustaafu utumishi wa serikali. Mwakyoma amesimikwa kuwa mchungaji Novemba 8, 2026, katika kanisa...
  3. Mlinzi Shujaa_

    Je, hivi mafunzo ya ulinzi na usalama ni muhimu sana kwa jamii?

    Kama ni muhimu naomba maoni yako hapo, nakama sio muhimu nipe comment yako, kwa sababu nahitaji kuanza rasmi kutoa elimu ya ulinzi na usalama hapa. . .Mafunzo yetu yatajikita katika ulinzi wa afya, ulinzi wa maisha, ulinzi wa mali au haki. Ili kila mtu awe nauwezo wa kujilinda yeye mwenyewe ...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Bunge laridhia azimio la Tanzania kujiunga na mkataba wa usalama angamtandao (mkataba wa malabo)

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio la mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Usalama wa Angamtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa mwaka 2014, maarufu kama Mkataba wa Malabo. Azimio hilo limewasilishwa Bungeni na Waziri wa Mawasiliano na...
  5. Jack Daniel

    Umuhimu wa majeshi yetu Kwa ulinzi na usalama wetu

    Salaam JamiiForums. Kumekuwa na tabia za kuiga,naita za kuiga kwasababu tunapelekeshwa sana na mabandiko ya mitandao huku tukiyachukia majeshi yetu bila sababu za msingi. Hapa nitaongelea jeshi la polisi ambalo kila siku ,yaani kilwa iitwapo leo hupokea,malalamiko,visa na mikasa isiyo na idadi...
  6. C

    Hilda Newton: Lema alimuhakikishia usalama John Pambalu akirudi Tanzania ila akaishia kukamatwa na Polisi

    Juzi niliwambia kwamba kuna mtu alimshauri Pambalu arudi Bongo ila sikumtaja huyo mtu nani. Sasa iko hivi, huyo mtu ambae alimshauri Pamablu arudi bongo ni Godbless Lema na yeye ndo alimuhakikishia Pambalu kwamba atakuwa salama alienda mbali zaidi akasema kwamba kazungumza na Mafwele kila kitu...
  7. BIOTOXINS

    TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    🚨 𝗧𝗮𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗛𝗮𝗰𝗸𝗲𝗿𝘀 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗨𝗱𝗵𝗮𝗶𝗳𝘂 𝘄𝗮 𝗣𝗛𝗣 𝗸𝘂𝘃𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗪𝗲𝗯𝘀𝗶𝘁𝗲

    Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. 🌍 Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...
  9. Ndagullachrles

    SACP Maigwa: Hakuna aliyejuu ya Sheria za usalama barabarani

    Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, SACP Simon Maigwa, amewataka madereva wa vyombo vya Serikali kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani, akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, bila kujali nafasi au cheo alichonacho. Akizungumza Oktoba 23, 2026, katika kipindi...
  10. H

    Dkt. Mwigulu Nchemba : usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    DKT. MWIGULU: USALAMA WA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza kuwa wakulima wawezeshwe kupata mitaji, teknolojia, pembejeo bora na masoko ili kuimarisha uzalishaji. Amesema...
  11. Mlinzi Shujaa_

    USALAMA NI NINI ?

    Usalama ni Hali ya Amani na utulivu ambayo hupatikana katika sehemu yenye ulinzi.
  12. Zack Abdul

    Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  13. Kizumari Technologies

    Kila Picha Unayopiga na Simu Yako Inaonyesha Ulipo - Watu Wanaweza Kukufuatilia Nyumbani Kwako Kupitia Picha Tu Na Kuhatarisha Usalama Wako

    Habari wadau, Natumai mko poa Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu. Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua? 1. Mahali...
  14. kavulata

    Hukumu kesi ya Lissu inashikilia hatma ya usalama wetu kama nchi. Tutajifunza nini?

    Hukumu ya kesi moja inahukumu kesi nyingine inayofanana nayo. Watanzania, wanasiasa, wazee, wanaume, wanawake, vijana, watoto, waislam, wakristo, diaspora na majirani zetu watajifunza nini kutokana na hukumu ya kessi ya Lissu kwa vyovyote vile itakavyohukumiwa?
  15. C

    Tabia ya mafundi ujenzi kufanya kazi bila vifaa ya kujikinga inahatarisha maisha, tuchukue hatua

    Habari wakuu Katika siku za hivi karibuni, tumekuwa tukishuhudia ongezeko la shughuli za ujenzi wa majengo marefu, hususan maghorofa, katika miji ya Dar es Salaam na Mwanza. Hata hivyo, ukifuatilia kwa karibu baadhi ya shughuli hizi za ujenzi, unaweza kukutana na mafundi wanaofanya kazi katika...
  16. T

    Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu

    Katika hali sio ya kawaida zipo dalili za wazi kabisa Taifa langu Tanzania lina pita ktk nyakati ngumu ktk usalama wake. Yes Utabiri unaonyesha Taifa langu Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu na hii ni...
  17. Mikopo Consultant

    Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
  18. mirindimo

    PICHA: Hivi, polisi wa usalama barabarani, mmeiona hii?

  19. THE FIRST BORN

    Hili swala watanzania hua tunalichukulia poa ila hilo ndilo liloleta majanga zaidi October 2025

    SIjawahi kuona hili likisemwa sana wala kuandikwa sana wengi hamjui au nahisi mnachukuliaga simple sana hili swala. Na hilo jambo ndio limebaki kama nguzo pekee ya ccm ukitaka kuniamini kua Watanzania hua tunalichukulia poa kuna kiongozi juzi juzi kasema vyoombo vyote ni vya ccm..sijaona watu...
  20. Megalodon

    Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa. Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
Back
Top Bottom