usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  2. GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
  3. Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini tozo kwa makosa ya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara? (1) Kwanini dereva wa gari iliyofanya...
  4. S

    ACT Wazalendo: Ismail Jussa apigwa vibaya na vikosi vya usalama Zanzibar na sasa yuko hospitali ya Makao Makuu Polisi Zanzibar

    Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar. @usembassytz, @GermanyTanzania, @BBCPolitics.
  5. R

    GE2020 Rais Magufuli, Waziri Mwinyi na Vyombo vya usalama vimejipangaje kuepuka Majuto kama Yale ya Mkapa kwenye Confession yake "My life my Purpose"?

    Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
  6. Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  7. Kwa manufaa ya Taifa na Usalama wao, Baraza la Maaskofu TEC na The Free Pentecostal Church of Tanzania, FPCT wahame Kurasini

    TEC na FPCT Ni vituo vya kidini ya kikristu vilivyoko eneo la Kurasini, Dar es Salaam. Kwasasa vituo hivi vimezunguukwa na shughuli mbalimbali za kiuchumi wa bandari kuu ya Tanzania. Viko katikati ya matenki ya mafuta na makontena. Uwepo wa taasisi hizi katikati ya shughuli za kiuchumi...
  8. Ukinywa pombe unajiisi Usalama wa Taifa, tukutane hapa

    Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu. Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana! Onyo; hakuna onyo lolote
  9. GE2020 NEC yahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura, yahakikisha usalama, usawa na uwazi

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi sasa Tume imetoa vibali kwa Asasi za kiraia na Taasisi 97 za ndani ya nchi na makundi 16 ya...
  10. Songwe: Polisi wa Usalama barabarani lawamani kwa kunyamazia uvunjifu wa sheria za barabara unaofanywa na ccm

    Hii ni baada ya kuruhusu magari ya mizigo yasiyo na ubora kusafirisha abiria kutoka wilaya na mikoa ya mbali ili kujaza uwanja wa mkutano . Hali hii ikiachwa iendelee kwa sababu tu za kisiasa itakuja kuleta maafa makubwa .
  11. Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
  12. GE2020 Hiki ndio kipindi cha kufanya shughuli za siasa. Usilaumu Vyombo vya Usalama kwa kukuwekea vizuizi unapotaka kufanya haya kwenye muda ambao sio

    Mwezi mmoja baada ya muda wa kampeni kuanza rasmi Tanzania na uki wauliza wengi, wata kwambia "Mambo bado, Bado asubuhi, Kujaza uwanja mzima haimaanishi kwamba uta shinda". Uki tizama kwa haraka haraka, na uki tumia kigezo cha watu kufurika kwenye mikutano unaweza kusema kwamba Mhe John Joseph...
  13. GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  14. B

    Askari wa Usalama Barabarani wanaichafua Serikali kwa uonevu wanaofanya kwa wamiliki wa magari

    Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000. Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
  15. Usalama ni nini? kuna aina ngapi za usalama

    Usalama ni usalama,Hali ya utulivu katika mazingira ya mzukukayo mwanadamu Kwahiyo mtu kuielewa taasisi hii yenye dhamana ya kuhakikisha hàli ya utulivu ndani ya mazingira yetu si kazi rahisi Kuna Aina ngapi za usalama? Mtu anaweza fikiria Kwa haraka haraka na kuwaza Aina nyingi za...
  16. Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
  17. S

    CCM inaanikwa Zanzibar -Wakuu wa Jeshi, polisi na vyombo vingine vya usalama kuweni nayo makini Itawazamisha

    Kwa sasa sio siri hakuna mpango wowote wa CCM kwa upande wa Zanzibar usio julikana kuhusiana na mipango ya kuchezea daftari la wapiga kura. Mitandanoni kumejaa ushahidi uliowazi na wa kuaminika kabisa kuwa waajiriwa wa vyombo husika hapo juu wanapangwa kutumiwa ili kuiletea ushindi CCM,mambo...
  18. C

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  19. Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

    Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda...
  20. Mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege atishiwa kuuawa, Umoja wa Mataifa wamuhakikishia usalama

    Umoja wa Mataifa umeagiza kikosi maalumu kwa ajili ya kuhakikisha usalama kwa mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege baada ya kupokea vitisho kutokana hatua alizochukua kudai haki kwa uhalifu unao tendeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Jitihada za kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…