usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  2. Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

    Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika. Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
  3. Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

    Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
  4. Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  5. M

    Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Jamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane. Je, kuna ukweli?
  6. B

    Je kuna usalama kwa mlaji kwenye mbogamboga tunazonunua mitaani na sokoni?

    JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA? Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo ya pale utumia kulima mbogamboga. Furaha yangu ilifika kiwango cha juu sana baada ya kukutana na...
  7. Hivi haya Magorofa ya kisasa yenye kuta za vioo ni Salama? Kwanini imekuwa mtindo?

    Siamini kabisa haya majengo marefu yenye kuta za vioo Unakuta jengo halina hata tofali, najiuliza hivi ule ukuta wa kioo unaweza ukaegamia kwa amani? Ikitokea tetemeko vipi? Sababu kubwa za kutumia vioo karika ujenzi wa magorofa makubwa ni jini?
  8. Je, kitendo cha nchi ya Burundi kupenda kushirikiana zaidi na nchi moja ya 'EAC' ni Afya kwa 'Usalama' wake wa Taifa?

    Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda...
  9. Kamati ya Ulinzi na Usalama iliyompa silaha muuaji wa Lemax Bar iwajibike

    Moja kati ya sherehe zake akiwa hai Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021. Kwa mujibu wa shuhuda ambae pia ni Rafiki, Kijana aliyepigwa risasi na kufariki anaitwa Gift na alikua amekaa jirani...
  10. K

    Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
  11. Tushare experience, Ulinzi na Usalama

    Wadau kama title inavyoonesha, naomba kila mmoja mwenye taarifa afanye kutupa experience alipataje nafasi ya kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu Tanzania. NB: Mimi nimelitumikia jeshi la kujenga taifa miaka mitatu lakini sikubahatika hata kupata nafasi ya kufanya usaili...
  12. Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
  13. Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  14. Amani na Usalama: Mitazamo yetu

    Wakuu, Kwa muda mrefu tumekuwa tukitumia hii misamiati katika maisha yetu: "amani na usalama". Hata hivyo ni dhahiri kuwa jinsi tunavyofafanua misamiati hii katika maisha yetu ya kila siku, kunaweza kuwa na utofauti. Tunaposema kuwa tunaitakia nchi yetu amani na usalama, je tunamaanisha...
  15. Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  16. Usalama wa Watoto Mitandaoni: Hatua ambazo Mzazi anaweza kuchukua

    Kumfundisha Mtoto kuhusu hatari za Mtandaoni anazoweza kukumbana nazo pamoja na namna ya kuziepuka au kuziripoti ni moja kati ya hatua muhimu kuhakikisha usalama wake Angalia historia ya kile mtoto anatafuta mtandaoni mara kwa mara. Pia inashauriwa kuweka kifaa anachotumia sehemu ya wazi ili...
  17. S

    Rais Samia aachane na mtindo wa kuhutubia njiani; hauna tija na ni hatari kwa usalama wake

    Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza). Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani. Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi...
  18. Nigeria: Rais Buhari akiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama

    Rais Muhammadu Buhari amekiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama Nchini humo, ahadi ambayo alitoa alipochaguliwa mwaka 2015. Kauli yake imekuja wakati baadhi ya Wananchi wakiandamana kuhusu Usalama Nchini Nigeria. Kundi la Boko Haram limezidisha matukio ya ghasia miezi ya hivi karibuni...
  19. Ndoto yangu ya kufanya kazi Takukuru au Usalama naona imekufa rasmi, nasikia sauti ya kuwa mchungaji ikiniita

    Habari wadau! Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru. Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au...
  20. Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…