usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutumia Spare Parts Feki? Unacheza na Usalama wa Gari Lako

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki...
  2. Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  3. Polisi Wanaotumika Kudhulumu Haki Za Watu, Hawapo Kwaajili ya Usalama Wa Watu Bali Ni Watu Hatari Kwa Usalama Wa Wananchi

    Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na yeye hajageuka. Polisi wa Tanzania, mahali ambapo watajitokeza kwa uwingi mkubwa na kila aina ya...
  4. PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  5. Polisi, Tume ya Uchaguzi, na Kamati za Ulinzi na Usalama Dar vinara wa kufanya uovu wa kimfumo: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

    RC Chalamila akipiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Kariakoo pasipokuwa na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo Uovu binafsi hutendwa na mtu mmoja mmoja kutokana na maamuzi ya mtu mmoja huyo. Lakini, uovu wa kimfumo hutendwa na watumishi wa taasisi kutokana na maamuzi ya vikao vya ndani ya...
  6. O

    Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  7. Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

    Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja...
  8. Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Marekani aibiwa pochi nene!

    Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa. Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu, $3,000(dola elfu tatu na ushee) Kwa hela hiyo mimi ningeagiza Subaru Forester. Mkuu huyo wa Usalama...
  9. Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

    “Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
  10. Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana

    Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana na uamuzi wa Israeli wa kutaka kurejesha msaada kwa Gaza, akiita "kosa la kihistoria." Anasema, "Maadamu mateka wetu wanakufa wakiwa kwenye Mahandaki, hakuna sababu ya pun je ya chakula au msaada kuingia Gaza," akiwataka Netanyahu na...
  11. Je, ulishawahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda inayohatarisha usalama wa barabarani?

    FUNGUKA! Huenda safari zako nyingi ni za usiku. 1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani? 2. Taja wilaya/mkoa, au eneo lolote lenye changamoto ya wingi wa matrekta, guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo...
  12. Usalama wa Taifa mnatuatilia maoni ya watanzania kuhusu Uchaguzi?

    Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania. Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
  13. Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  14. M

    Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  15. Z

    Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  16. Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  17. TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  18. Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  19. Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  20. K

    Vyombo vya usalama vikiweka uzalendo Tanzania itabadilika

    Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja 1. Wafuate viapo vyao 2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru 3. Wasitumike kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…