usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  2. Habari JWTZ Na majeshi ya ulinzi na usalama nchini!?

    Habari kwenu majeshi ya ulinzi na usalama nchini (Tanzania)? Tangu uchaguzi upite Leo ni siku ya 9! Lakini cha ajabu hatuoni tena mkifanya mazoezi ya utayari kwa umoja wenu mtaani. Tulipowaambia mnatumika kisiasa kutisha raia mlitoka hadharani na kusema mnafanya mazoezi ya utayari huo utayari...
  3. Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  4. R

    Raia wa Kenya wanaoishi Tanzania wahakikishiwa Usalama na kuhimizwa kufuata Sheria za nchi

    Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu Kupitia taarifa iliyotolewa Novemba 5, 2025, Ubalozi huo ulisema kuwa ustawi wa Wakenya walioko Tanzania unabaki kuwa kipaumbele...
  5. Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  6. GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  7. K

    GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  8. GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
  9. Nina wasiwasi na usalama wa watu waliotekwa kama Polepole

    Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja. Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
  10. R

    GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  11. GE2025 Mkoa wa Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni Jimbo la Kinondoni Jimbo la...
  12. GE2025 Msemaji wa Polisi: Hakuna tishio lolote la kiusalama lililobainika hadi sasa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba. Akizungumza leo, Oktoba 29, 2025, kwenye kipindi cha Jambo Tanzania cha...
  13. GE2025 Polisi wanaendelea na vitisho kwa raia, huko tabora wamefanya mazoezi wakidai kuimarisha usalama kwenye uchaguzi

    Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
  14. Haki itashinda na Vyombo vya usalama kuwa upande wa haki

    INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29 Hello, important plz. Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
  15. R

    Heche ukirudi usalama wako nina mashaka nao

    Hawa siyo watu. Siyo watu kabisa. TAKE CARE PLEASE
  16. 4

    Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  17. Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  18. GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  19. GE2025 Mgombea ubunge Mafinga mjini: Usalama utaimarishwa, nendeni mkapige kura tumeshajieleza sana

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, akiwahakikishia kuwa hali ya usalama itaimarishwa ili kila mtu ashiriki uchaguzi kwa amani. Akizungumza...
  20. Tahadhali Kabla ya Hatari, Vitisho vya Usalama, Intel analysis

    Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii... Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…