usa

  1. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Iran engages in only results-oriented talks; high time for US to wake up to new reality: Foreign Ministry

    The spokesman for Iran’s Foreign Ministry has once again reiterated Tehran’s resolve to engage in only results-oriented talks on ways to revive a nuclear deal it snatched with world powers in 2015, saying it is high time for the United States, which unilaterally abandoned the agreement, "to wake...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Democrat ndio wapenda mabadiliko USA, ona hii

    1. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mkatoliki Kennedy. 2. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mwafrika Obama. 3.Ndio wamekuwa na waziri wa kwanza mwafrika wa mambo ya nje. Powell. 4. Ndio wamekuwa na waziri wa ulinzi mweusi wa kwanza . Huyu jenerali wa Sasa.
  3. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Why Cfd brokers are banned in USA

    Part of the reason that CFDs are illegal in the U.S. is that they are an over-the-counter (OTC) product, which means that they don't pass through regulated exchanges. Using leverage also allows for the possibility of larger losses and is a concern for regulators. You're just betting on price...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  5. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Uongo mwingine wa Spika Ndugai kuhusu Yesu kwenda Yerusalemu

    Nimesikia bwana Ndugai ameomba radhi kwa kusema Yesu ana mke, lakini hajaomba msamaha kwa kudanganya kuwa alikwenda Yerusalemu kuhesabiwa. Hata kama alimaanisha Yusufu, bado alidanganya kuwa eti alikwenda Yerusalemu. Biblia haisemi Yusufu alikwenda Yerusalemu, Biblia inasema Yusufu alikwenda...
  6. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Martin Luther King

    58 years ago today and in color: The March on Washington for Jobs and Freedom This was not long ago and far away.
  7. meningitis

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

    Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania. Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu. Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden ataka kutolewa Dola 100 kwa kila atakayepata chanjo ya COVID-19

    Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19 100x2399= 239,900 hii ni kweli? ==== Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Update USA: Madhara ya chanjo yaliyo waziwazi

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa, watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi...
  10. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kawa-win USA?

    Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA. Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja. Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya! CHADEMA shitukeni huenda kombe si lenu tena.
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

    Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi. Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo? Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and some local governments. Citizens and residents are taxed on worldwide income and allowed a credit for...
  13. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ndege ya jeshi la USA imekuja Tanzania kufanya nini.?

    Inasikitisha sana wakuu
  14. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

    Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 100. Wiki iliyopita Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na kupambana na Rushwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania India: Mlipuko mpya wa Covid-19, UK. USA, zatangaza zuio la safari za India; hapa kwetu wasafiri Wahindi kama kawaida

    UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23, 2021. Hii ni baada ya mfumuko mpya wa maambukizi na vifo vya COVID-19 nchini India unaoifanya nchi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Lockdown yasabibisha uhalifu kuongezeka, Marekani yatahadharisha raia wake

    Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu. Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba. Maeneo...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Usafi majumbani na maofisini pamoja na kupiliza dawa ya kuua wadudu wasumbufu

    Habari wadau, tunawapenda kuwaalika watu wote wanaohitaji huduma ya usafi majumbani, maofisini pamoja na kunyunyizia dawa wadudu wasumbufu kama vile mende, mchwa, kunguni, mbu, nyoka nk. Tunapatikana Dar es Salaam, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0716806933 , 0765013776. Au tembelea...
  18. Mac Bully 001

    JamiiForums Tanzania US Capitol attack

    There's been a security incident outside the capitol, one policeman is receiving treatment, while one officer succumbed to injuries. The suspect too, was neutralized on sight after he lunged at the officer with a knife immediately after breaching the barricades which were erected. Area under...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Poverty in USA

    Guys kumbe nchi iliyoendelea nayo ipo na maskini. Nashindwa kuelewa.
  20. Tanzania Tech

    JamiiForums Tanzania YouTube Tax kwa Creator (Wenye Channel) Nje ya USA

    Naona kama bado hakuna mtu anafahamu kuhusu ili so nimeona nianzishe uzi kuhusu ili ili kusudi watu wote wafahamu kuhusu mabadiliko mapya yanayokuja kwenye mtandao wa YouTube. Kama wewe ni mmoja wa watu wenye channel na upo nje ya marekani basi hii ina kuhusu kwa asilimia 100. Kuanzia mwezi wa...
Back
Top Bottom