Uliwahi kuwa na mahusiano na Moja wapo ilikuwaje au urafiki
1.MLEVI KUPINDUKIA
2.MZEMBE
3.MVIVU
4.MCHAFU
5.MUONGO
6.MROHO
7.MCHOYO
8.MNAFIKI
9.MMBEA
10.MWIZI
11.MALAYA
Wakuu, leo si mke wangu,mpenzi wangu wala marafiki ni kimya kama misa ya kumuaga marehemu, hakuna aliyenitafuta. Najiuliza nini hiki,ni balaa au bahati mbaya? Unawezaje kukabiliana na hii hali?
Kasi ya kuzaliana Tanzania bado iko juu.
Hii inaongeza mzigo kwa serikali katika kutoa huduma za jamii.
Necta walituambia kuwa kuna wanafunzi milioni nne waliotakiwa kufanya mtihani wa darasa la pili na la nne!
Tena wakatuambia kuwa zaidi ya wanafunzi milioni moja na laki moja wamemaliza elimu...
Wasalaam,
Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka.
Wakati mwingine...
Najaribu kumlinganisha Tajiri wa Zimbabwe aliyefariki kwenye ajali ya ndege na matajiri wa Tanzania na duniani ni kama vitu viwili tofauti.
Wengi ni kama wachumi na wabahiri, ila huyu jamaa ni kama utajiri wake ni wa kugawa vitu vya thamani kubwakubwa kwa watu wa kawaida. Yaani utajiri wa...
Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki ulikufa.
Habari ya wakati huu.
Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi.
1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp
2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T)
3. Generators ( 17kva - 550kva )
4. Wheel loaders ( 3T & 5T)
5. Excavators...
agriculture
china
construction
dar es salaam
dsm
excavator
forklift
gari
generator
industries
machinery
magari miradi
mitambo
tanzania
tractor
tractors kubota
trucks
ubungo
urafiki
Katika ulimwengu wa sasa wa mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook, imekuwa kawaida kukutana na maombi ya urafiki (friend requests) au watu wanaotaka kukufuata (follow requests) kutoka kwa akaunti zisizoeleweka. Akaunti hizi mara nyingi zinatumia majina bandia, picha zisizo zao (au picha...
Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Jennifer Bilikwija ‘Niffer’, amewasha moto wa mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ushikaji na wanawake wenzake.
Niffer amebainisha kuwa ingawa anawapenda na kuwaheshimu wanawake, hana mpango wala uwezo wa...
Kuna msemo mmoja unaenda hivi
"when a guy has a crush on a girl every one knows knows but the crush, but when a girl has a crush on a guy no one knows but the crush"
Hivyo ndugu zangu ni kheri nikawa muwazi tu maana, hisia hazijifichi..
Na mimi ego yangu sio mbaya niseme nimezee ndani hisia...
Issa Tambuu ni mnafiki sana.
Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu.
Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio wanajua.
Na kuhusu Issa nilidhani ni mimi peke yangu kumbe wengi wameshajionee hususani kuhusu hili...
Wanasema urafiki wa kweli hujengwa kwenye misingi ya kuaminiana, kusaidiana kwenye shida na kulindana dhidi ya jambo lolote linaloumiza. Lakini maisha yangu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni yalikuja kunivuruga kabisa, na kunifanya nianze kujihoji:
Hivi kweli nahitaji watu maishani...
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli.
RiP J.P.M
Habari wanajamvi,
Katika safari ya maisha, kuna watu ambao huwa wa karibu sana kiasi kwamba wanapohitaji msaada wa kifedha unawasaidia bila kusita, kutokana na heshima na uaminifu mliojenga kwa miaka mingi. Hilo ndilo lililonikuta mimi.
Kuna rafiki yangu wa muda mrefu ambaye tumekuwa...
Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Hiii KESI ya banjo, imenikumbusha KESI ya zenji, yule sheikh kakaaa NDANI wakaja wageni, wakapiga NAE stori, BADAE wakasepa NAE KAWAIDA TU BILA SHIDA, mfanya KAZI WA NDANI hakuona dalili yoyote mbaya Yani friendly,
Mara kapotea hakurudi, BADAE kaokotwa daraja la bububuu kauliwa, upelelezi...
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.