upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Grealish aomba radhi mashabiki atangaza kurejea upya Everton

    Kiungo mshambuliaji wa Everton, Jack Grealish, ameanza ukurasa mpya ndani ya kikosi hicho baada ya kurejea uwanjani na kuomba radhi kwa mashabiki kufuatia sakata la utovu wa nidhamu lililomuweka nje ya kikosi. Grealish, mwenye umri wa miaka 31, alicheza kwa mara ya kwanza tangu kusimamishwa...
  2. MamaSamia2025

    Shikilia vizuri ulicho nacho kwa sababu ni ngumu mno kuinuka upya baada ya kuanguka kiuchumi

    Motivational speakers watakuambia "Knocked down? You can stand up"... mwingine atakutolea mifano ya watu walioanguka na kusimama upya na mara nyingi huwa ni watu wa Ulaya na America. Hatakupa mifano ya watu maelfu walioanguka na kushindwa kuinuka upya hadi ile siku wanavuta pumzi ya mwisho...
  3. Gunner11

    Sirudii kwenda nisipohitajika

    Ukiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata. Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli.. Nime enda kwenye event fulani hivi, Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates) Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe.. Yaani ni kama...
  4. F

    Kama ingekuwa inawezekana kuzaliwa upya, ungependa uzaliwe nchi gani?

    Swali liko wazi. Kuna msemo wa kipumbavu kuwa heri kuzaliwa paka Ulaya kuliko binadamu Afrika. Sijui kama bado una mashiko hasa pale ambapo Afrika inaanza kuikimbiza ulaya japo bado kuna baadhi ya wenzetu wanaikimbia. Je ungekuwa unazaliwa upya, ungependa au kutamani uzaliwe nchi gani na kwanini?
  5. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  6. A

    HOJA Baraza la Uuguzi na Ukunga livunjwe na kuundwa upya ili kusaidia Wanakada

    Kwa zaidi ya miaka 14 sasa, changamoto zinazowakabili wauguzi na wakunga nchini hazijapatiwa ufumbuzi wa kudumu licha ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanakada hao. Kwa hali ilivyo sasa, tunaona ni wakati mwafaka kwa wauguzi na wakunga kuungana na kuiomba Serikali kuvunja na kuunda upya...
  7. Deus Jovin

    Mnyika na Mgomo wa Kitaifa Kulinda Katiba: Mwaliko wa Kisiasa Kutaka Marekebisho ya Mikakati ya Kiusalama Inayotekelezwa na DPP, DCI na DGIS

    Ndugu Raia wa Taifa la JF, Hujambo? Leo tarehe 24 Oktoba 2026, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki migomo kwa lengo la kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kuanzishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, Jumatatu, Oktoba 26, 2026. Wito huo unakuja...
  8. M

    DC SHAKA APONGEZA UAMUZI SERIKALI CHINI YA RAIS SAMIA KULIJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE

    DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya Daraja la Magole, katika barabara kuu ya Morogoro - Dodoma...
  9. MamaSamia2025

    Kama alivyosema Lema ninamshauri mbunge Makonda kutoboma na kujenga upya alama zinazotambulisha mji wa Arusha bali aziboreshe tu.

    Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
  10. Kaka yake shetani

    Tanzania tupitie upya syndrome hawa watu ni wazuri sana kwenye kufanya kazi ndogo ndogo hata biashara kubwa zako.

    Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana. Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana. Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo. wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi. Kuna kazi ukiwapa...
  11. X

    "Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

    Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy. Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    MO29 ilinifanya nijitathmini upya uwezo wangu wa kukimbia. Sikuamini mpaka wanawake walikuwa wakinipita kama nimesimama

    Hamjambo! Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29. Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida. Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
  13. Parabolic

    Baada ya Nchimbi, CCM yapanga upya safu ya makatibu wa mikoa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani. Katika mabadiliko hayo...
  14. Jannatul Firdaus

    Biashara kariakoo kupangwa upya

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkoa unaandaa utaratibu mpya wa kuwapanga na kuwatambua wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo kwa kuzingatia ukubwa na aina ya biashara wanazofanya. Alisema hatua hiyo inalenga kuondoa mkanganyiko uliopo katika eneo hilo, ambako...
  15. M

    Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai. Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf. Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao. Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
  16. W

    Yaliyotokea Mwanza ni uzembe, Sasa tumeanza upya

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma ilisababishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji, lakini hivi sasa kazi kubwa ya uboreshaji wa huduma...
  17. Gunner11

    Minezaliwa upya

    For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini maishani. Bali kutambua sikupaswa hata kuuliza kabisa. Leo ndo nimetambua kuwa mimi ni kila kitu...
  18. Zack Abdul

    Watu Hubadilika: Waache Waandike Upya Kurasa za Maisha yao

    “Jamaa ni Profesa? Wapi bwana. Tulisoma naye. Shule alipata three.” “Mchungaji? Kweli watu wana utani na Mungu. Tuulize sisi tuliocheza nae.” “Jamaa kawa waziri? Kabebwa hakuna kitu pale. Shuleni alizungusha.” “Unamwamini huyu jamaa? Mwaka juzi alimtapeli jana yangu.” “Kaolewa? Namjua. Shuleni...
  19. BIOTOXINS

    Tbs ifumuliwe upya / ivunjwe kunusuru afya za watanzania

    Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari Wahusika chukueni hatua Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya 1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya...
  20. D

    Ugonjwa wa kupenda big nyanshi unanimaliza; Kila nikipanga kumwacha ananitegea nyanshi, tunaanza upya😌😌

    Ninamaliza mwaka wa tatu Sasa wa kuweka Nia ya kumwacha Kila mara maana ni jeuri sana huyu mwanamke. Tatizo linakuja hapa kwenye huu udhaifu nilionao wa kupenda nyanshi lililonona ambalo huyu mwanamke analo ndo maana ninaye. Tatizo zaidi ni kwamba huu udhaifu tayari huyu mwanamke anaujua. Kila...
Back
Top Bottom