Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali. Hivi upendo ni nini? au upendo unatoka wapi? mtu akipendwa anahisije? '
Maana sisi ni nyama, damu na maji, kwanini mtu akiumizwa kwenye mahusiano yoyote anaumia na wakati hajaguswa? kwanini kuna wivu?
Kwanini mtu akimpenda mtu mwingine anakuwa na wivu? No...