upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
  2. M

    JIFUNZE TOFAUTI YA UPENDO NA KUTESEKA , ISIWE UNATESEKA KUMBAKIZA UKASEMA UNAMPENDA

    kuteseka kwa kisingizio cha kuboresha au kulinda uhusiano uliokufa ni sawa na kujifungia ndani ya gereza la kujitakia. Unaanza kuishi kwa hofu ya kukosea 😔 Sababu kubwa inayowafanya watu wengi kuteseka huku wakijipa moyo kuwa wanapenda ni hofu ya upweke au hofu ya kuanza upya. INATAKIWA...
  3. Carlos The Jackal

    Watanzania washikamana zaidi, Upendo kwa Lissu waongezeka, Kila Mtanzania anaimba Lissu Lissu ,Maandamano yajayo yatawafurahisha

    Wametuua kwa Maelfu Oktoba 29. Polepole hajulikani alipo Nchimbi hajulikani alipo. Lissu anafungwa jela Kihuni. Ni nani aliyesalama ?.
  4. O

    Kizibo Kitamu Cha Upendo: Rais William Ruto Awasili Mwanza Kusherehekea Harusi ya Bintiye

    Hali ya shamrashamra na furaha kuu inatawala jijini Mwanza, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo Rais William Ruto wa Kenya aliwasili jana jioni ili kuungana na familia na marafiki katika kusherehekea harusi ya bintiye inayofanyika rasmi leo. Tukio hili la kifahari linawaleta pamoja viongozi...
  5. OMOYOGWANE

    Hivi Serikali, Polisi na Dini zikifutwa leo, tutachinjana ndani ya siku 7 au upendo utatawala? Mjadala wa Kifalsafa

    Wakuu, habari za leo. Hivi karibuni nimekuwa nikitafakari nadharia ya mwanafalsafa Thomas Hobbes kuhusu "State of Nature" (hali ya asili ya binadamu kabla ya mifumo ya kisheria). Hobbes aliamini binadamu ni mbinafsi na mkatili kwa asili, na bila serikali, maisha yetu yangekuwa ya taabu...
  6. Ushimen

    Dada na wadogo zangu, mwanaume ndie kiumbe pekee mwenye upendo wa dhati kwako

    Hiyo nafasi nilio acha hapo juu, nitakuja kusalimia nikimaliza kuandika uzi. Baba na mama yako wanakupenda kwasababu walikuzaa (hawana hiyari) Dada/Kaka wanakuoenda kwasababu mlizaliwa pamoja (hawana hiyari) Huyo mwanaume uliekutana nae akiwa amezaliwa kwao na anatabia zake na hana undugu na...
  7. Moto wa volcano

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima , wengine ukiwapenda wanakuzawadia dharau

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima . Wengine ukiwafanyia hivo wanakuzawadia dharau , chagua watu wakuwaheshimu na watu wakuwapenda .
  8. wasumu

    Dunia inakila kitu imekosa upendo dunia inatoka kwenye 4th dimension to 5dimension[bila upendo unatapikwa]

    UPENDO NDIO SHERIA KUBWA YA KUINGIA UFALME WA MUNGU Watu wanapoweka umakini wao kwenye upendo matatizo mbalimbali huondoka yenyenye Upendo ndio Sheria kuu sheria kuu nasisitiza dini yako haiwezi kukupeleka kokote kule wala cheo chako wala elimu yako hata kidogo fuata tenda ukarimu wema upendo...
  9. USSR

    Wakristo wameamua kuilinda Makah ili isishambuliwe na Waislamu wa Houth , Ukristo ni upendo!

    Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
  10. L

    Moyo Wa Huruma Upendo na Ukarimu. Rais Samia Amzawadia Bajaji Mpyaaa ISSA Musembe Mwenye Ulemavu na Muimbaji wa Nyimbo Za Uzalendo

    Ndugu zangu Watanzania, Mfariji Nambari Moja wa Taifa hili na Tumaini la Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia Kwa Moyo wake wa Upendo, Huruma na Ukarimu Amezawadia Issa Musembe Ambaye ni Mlemavu na Pia...
  11. Jemima Mrembo

    Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je, ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia. Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi. Je...
  12. Ngengemkenilomolomo

    Watanzania tuna upendo sana, lakini tunaowaonesha upendo hawatujali

    Wakuu Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa...
  13. Zack Abdul

    Watanzania wana upendo sana isipokuwa wachawi wachache wa JF, TUKAPIGE KURA JAMANI

  14. SweetyCandy

    Upendo wa kweli utajidhirisha

    Humu jf mtag mtu umpendae ili aje ashuhudie upendo wako kwake.
  15. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  16. L

    Watanzania Wamemkumbuka Rais Samia Wanatamani Hata Kusikia Sauti Yake Ikizungumza Nao. Ni Upendo Wa Agape Unaoonyeshwa Na Watanzania Kwa Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anapendwa na Watanzania,anakubalika na watanzania,anaishi mioyoni Mwa Watanzania,ameiteka mioyo ya watanzania,amegusa Hisia za Watanzania. Kila unapopita iwe ni mitaaani, Vijiweni,Makanisani ,mastendi,kwenye mikusanyiko mbalimbali inayowakutanisha...
  17. Mshana Jr

    Wosia na Shauri la Mwisho: Upendo wa Dhati au Nuksi ya Kifo?

    Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka. Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu wakisafisha njia kuelekea mahakamani au hata kurushiana makonde, wakigombania namna ya kugawana mali...
  18. Financial Analyst

    Kiranga: "Dhana ya kumuomba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction"

    Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA MSAMAHA" Wamama wanalia sana katika maombi, wameteswa, vizazi vyao vimeharibika ila watesi wao ndio...
  19. Burn the bridge _Tz

    Upendo wa mama kwa mtoto ni bond ambayo haiwezi kutenganishwa

    Hiii ni kwa mabimkubwa wote Duniani Sijui kwanini huwa kuna upendo mkubwa kutoka kwa mzazi hasa mama kwa watoto wake
  20. Nyafwili

    Picha Nilizopiga Na Ma Ex Zangu, Nimeshindwa Kabisa Kuzifuta Kwenye Gallery, Nimezihifadhi Kwenye Locked Folder

    Siyo kwamba nawa-miss ex, hapana, bali kila nikiangalia zile style za picha tulizopiga kwa kipindi kile, aina ya mifumo ya zamani ya maisha iliyokuwa tofauti, huwa nabaki natabasamu tu. Kuna mda ma ex huwa wananipgia simu na kuniuliza "ivi zile picha bado unazo" nawajibu ndiyo, wakisikia hivyo...
Back
Top Bottom