uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Lissu, zitatolewa na Uongozi mkuu, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa sheria

    Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa Kimaksudi na Ukatishwaji Tamaa wa Wanafunzi wa Postgraduate kutokana na Usimamizi Mbaya wa Tafiti UDOM

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate. Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana. Mfano halisi: Kuna...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji

    Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, imeshakuwa na wakurugenzi kadhaa, ila mara nyingi huwa wanaondoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule ya Pugu mmefeli sana kumuweka Mpoki kuwa mgeni rasmi wa mahafali yenu

    Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
  5. JamiiForums Tanzania Ombi Maalumu kwa Uongozi wa Jf

    Neno Acha Ujinga limekuwa maarufu sana jf,na limetumika kuanzia zamani sana,juzi nilitembelea uzi wa Makapuku nikakuta toka 2016 hili neno linatumika sana Kwahiyo neno hili lipewe imoji ili iwe rahisi kuwatupia watu ambao huleta ujinga humu ndani. Ni hayo tu!
  6. JamiiForums Tanzania Paul Christian, Makonda amesimamisha Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na kuusimamisha Uongozi wa sasa wa Kamati hiyo

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian, Makonda amesimamisha Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na kuusimamisha Uongozi wa sasa wa Kamati hiyo kufuatia malalamiko ya baadhi ya Wagombea waliokuwa wakiwania nafasi mbalimbali za Uongozi wa TOC kuenguliwa kushiriki...
  7. JamiiForums Tanzania China yaitangulia Marekani kwa kiwango cha kukubaliwa kwa uwezo wa uongozi wa kimataifa

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5. Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimebadili mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia ulioanza kwa 4R?

    Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
  9. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Serikali yakana ripoti ya zaidi ya raia 1,800 kuuawa kipindi cha uongozi wa Traore

    Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita. Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kusikiliza: Somo kwa Dkt. Mwigulu Nchemba

    UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu zaidi ni uwezo wa kusikiliza ambacho mara nyingi hupuuzwa. Katika mazingira ya maombolezo, Waziri...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa UDART utulipe Wafanyakazi ‘Overtime’ zetu, pia tunahitaji nyongeza ya mshahara, hali yetu ni mbaya

    Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia Wafanyakazi wa vituoni kama "mbuzi wa kafara." Hakuna mfanyakazi wa kituo anayeweza kuiba Sh 100,000...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kulea watu na baadae kuwapa uongozi kwa vigezo vya "tunamjua na kumuamini" ndiyo shida kubwa inayotukabili kama Taifa

    Siku Tanzania ilipoamua kuwa yoyote anaweza kulelewa na baadae kupewa uongozi halafu akili atazipata huko huko katika uongozi, ndiyo siku tuliyoanguka kama taifa. Mfumo wa nchi na wananchi kwa ujumla wanachanganya uzoefu na akili. Mtu yoyote ukimpa afanye jambo kwa muda wa kutosha, uzoefu...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili shughulikieni kero ya ubovu wa magari ya taasisi

    Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii. Kila tukifuatilia kupata...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwenu uongozi wa Temeke hospital

    Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko serious kweli??? Kuna mtu niliwahi kumsikia kuwa temeke hospital ni kijiwe cha interns kweli nimeamini...
  16. JamiiForums Tanzania 50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

    Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi. Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
  17. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  18. JamiiForums Tanzania Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa kiMUNGU, unavyotuokoa

    Aisee! Leo nakumbuka wakati nina umri wa wastani wa miaka 11, hapa tulikuwa na utaratibu wa kupanga siku ya kugombana (ndondi) na utoto ulikuwa unachangia uwe na utayari usiopingika kwa kutetea HESHIMA mtaani. Siku moja ikatokea ugomvi ambao haukuisha, tukaweka siku ya kuziweka mezani na ikawa...
  20. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shabiby Bus Terminal waboresha vyoo vya Kituo cha Shabiby Bus Terminal - Dodoma

    Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri. Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…