Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM.
Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili.
Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako.
-Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji.
1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio
Tanzania imeendelea...
Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani
Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi
Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
✍️Kuna jambo moja ambalo vijana tunapaswa kujifunza kwa umakini sana katika safari ya uongozi si kila mtu anayetamani kuwa mkubwa ana uwezo wa kubeba ukubwa huo.
Kuwa na ndoto kubwa ni jambo jema kuwa ambitious ni jambo jema kutaka kufika mbali ni jambo jema
lakini tatizo huanza pale...
Kabla ya tukio la Nchimbi kujiuzulu kutokea , walikuja jamaa wawili hapa kuleta za ndani kua Nini kitatokea, Mto wa mbu na britanicca, lakini hawa watetezi wa serikali walibisha sana, na kwa reply zao ukiangalia sio kwamba walikua wanaigiza ila ni kwamba kweli walikua hawajui Nini kinaendelea...
Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria.
Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi.
Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu.
Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu.
Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili
Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama zilivyo Instagram au Facebook
Sasa kwanini uongozi usianzishe mchakato wa kupeleka Jukwaa hili kwa...
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.
Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
Anonymous
Thread
hii
hospital
kufanya
mbili
mwanza
nje
serikali
uongozi
utaratibu
wafanyakazi
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
Wanafunzi tuliomaliza masomo ya Diploma tunaomba msaada kuhusu changamoto ya kucheleweshewa vyeti vyetu.
Kila tunapofika chuoni kufuatilia vyeti, tunaambiwa kuwa mashine ya kuchapisha au kutoa vyeti imeharibika. Hali hii imetuletea usumbufu mkubwa, hasa kwa wale wanaotoka maeneo ya mbali ambao...
Watumishi wa Halmashauri ya Kyerwa tunapenda kutoa shukrani kwa uongozi kwa kuhakikisha kuwa posho zetu za kujikimu zimelipwa.
Hatua hii imetupa faraja kubwa na kutusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikitukabili. Tunathamini juhudi za uongozi katika kusikiliza na...
Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili kupata huduma, PSSSF imesema “Tunashukuru kwa mrejesho kutoka kwa mdau, tumepokea kwa ajili ya...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote...
Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
idara
idara ya afya
uongozi
wilaya
Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu.
Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
mambo
mambo ya
sawa
serikali
uongozi
watumishi
yombo vituka
Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua jambo moja muhimu: wananchi wenyewe ni sehemu ya changamoto hizo.
Tukumbuke, viongozi hawaanguki...
Mbunge wa Viti Maalum, Beng'i Mazana Issa akichangia Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 Bungeni leo Juni 22, 2026 amependekeza Serikali kuangalia uhusishwaji wa Wanawake kwenye nyanya mbalimbali za uongozi akirejelea kuwa Bajeti kuu imetaja nafasi za uongozi kwa Wanawake kwa asilimia 30...