unyonyaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    TIS acheni kuwatumikia Makaburu na kusaidia unyonyaji wa wazawa kwa mgongo wa nyuma Mnaumiza sana Watania!

    Magufuli katufikisha hapa. Mawakala wa ukoloni Mambo leo walimuongoza kuua kabisa Mihimili miwili ya serikali yani Bunge na Mahakama. Na yakimuminisha yeye ndio Muhimili mkuu. Baada ya kuviua kabisa na kukosa sauti na Yeye akaondoka. Sisemi walimuua sijaongea na wakakili wangu lakini ni...
  2. C

    Dkt.Ayoub Rioba : Katiba Mpya Isaidie Kukabili Mifumo ya Unyonyaji wa iliyoachwa na wakoloni

    Mtoa hoja huyo amesema anaunga mkono upatikanaji wa Katiba Mpya, akisisitiza kuwa haungi mkono chama chochote cha siasa kwa upendeleo, bali hutathmini vyama vya CCM, CHADEMA na vingine kwa kuzingatia hoja na utendaji wake. Ameeleza kuwa, ingawa Katiba Mpya ni muhimu katika kujenga taifa lenye...
  3. bless on

    Ukweli isioujua kuhusu Kodi je ni unyonyaji au ni maendeleo?

    UMEKUWA UKILIPA KODI MAISHA YAKO YOTE. JE, UNAJUA NANI ALIYEVUMBUA MFUMO HUU NA KWANINI? Kabla ya kuwepo kwa fedha, benki, serikali, au katiba... tayari kulikuwa na mtu aliyesimama mlangoni kwako akipiga hesabu ya kile unachopaswa kumpa. Kodi ya kwanza kabisa duniani ilikusanywa miaka 5,000...
  4. Kifurukutu

    Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  5. A

    KERO Ujumbe kwa CEO wa Stendi ya Magufuli Terminal; Kero za chenji, ufafanuzi wa tozo za vyoo

    Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo. Sisi kama wananchi hatupingi kulipa TSh 300 za kiingilio, kwa kuwa tunaelewa kuwa tozo hiyo inalenga kuchangia...
  6. A

    KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
  7. Vien

    Tumegeuza Bargaining Power kuwa unyonyaji wa watu wanaotafuta riziki

    Kadri muda unavyoenda ndivyo ninavyozidi kuelewa namna uchumi na tabia za wanunuzi zinavyobadilika. Kwenye biashara kuna dhana mbalimbali zinazofundishwa, moja wapo ikiwa ni "Ignorance of Customer." Kwa lugha rahisi, dhana hii inahimiza mteja kufanya utafiti kabla ya kununua bidhaa au huduma...
  8. A

    DOKEZO Kilio cha Wakata tiketi wa Mwendokasi: Kuna unyonyaji na ukiukwaji wa haki za Wafanyakazi

    Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu. Hata...
  9. A

    KERO Unyonyaji Riba Apps za Mikopo: Flying Shilling Hatari!

    Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4 na urudishe ndani ya siku sita ukichelewesha watu wanapewa vitisho tunaomba na BOT wajulishwe...
  10. A

    KERO Kupuuzwa kwa uwepo wa watumishi wa kujitolea baadhi ya ofisi za Serikali; Hususani katika kupata stahiki na posho

    Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
  11. A

    KERO Msasa Gold Mine: Wachimbaji tumechoka unyonyaji. Kuna kiongozi anatamba akidai ana kinga ya Waziri wa Madini

    Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au kuibuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2025, ukiwa unaendeshwa kama rush. Awali, baada ya uvumbuzi wa...
  12. baz kaiza

    Mmeua, mmeteka, Ufisadi, wizi, unyonyaji, MME dhurumu haki za watu kuishi. Kwa hiyo vijana waopinga aya ndo Mnataka tuwaone Wabaya?

    Serious mnataka hawa vijana ndo tuwaone wabaya wanaopinga haya mambo wizi, Ufisadi, Utekaji, mauaji, rushwa uduma mbovu kwenye office za Umma ubakaji demokrasia. Vijana waopambana kupinga haya ndo Mnataka tuwaone ndo wabaya?
  13. tonicimmobility

    Wakuu hii itakua ni nchi gani?

  14. gcmmedia

    Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  15. SankaraBoukaka

    Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  16. Knock life

    Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  17. Intelligence Justice

    Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  18. kingphisher

    Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
  19. TZ-1

    Kuwa makini unapotaka kuchukua mkopo unyonyaji ni mkubwa sana

    MABENKI YETU TZ JAPO YAPO REGULATED LAKIN NAZAN KUNA WIZI UNAENDELEA HASA KWENYE MIKOPO Katika hali ya kawaid nmeihash familia mkoa x kwend mkoa B na huko tayari nilikuw kwenye hatua za awali san katika ujenzi nikaona kulko kulpa pango la Tshs 150,000 hadi Tshs 200, 000 nkasema ngoja nikasake...
  20. HONEST HATIBU

    Huu ni uonevu na unyonyaji

    HESLB Tanzania tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu hawataweza kumpa pesa ya kujikimu Angejua wanafunzi wanachopitia hata hyo boom haitoshi asingeongea...
Back
Top Bottom