unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "HUJUI? Mansion si lazima iwe ghorofa! Angalia hii 5-bedroom masterpiece yenye: 2-car garage Swimming pool unayoifikia moja kwa moja kutok

    SISI TUNAHUSIKA NA : DESIGN ,UJENZI NA UKARABATI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP US +255624004650
  2. Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  3. 🌾 Je, unajua unaweza kuvuna gunia 40 za mpunga kwa ekari moja mpunga?

    Tofauti ni mbinu tu, si muujiza! Wakulima wengi wa mpunga hapa Tanzania huvuna gunia chache sana kwa ekari – na kwa bahati mbaya, wengi huamini kuwa hilo ni jambo la kawaida. Lakini je, unajua kuna wakulima wanaovuna hadi gunia 40 kwa ekari moja? Ndiyo! Wakati wewe unavuna gunia 5 au 7, mkulima...
  4. Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  5. Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  6. Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  7. Nimekutana na mwislamu ni kamsalimia 'Amani iwe nawe' ni kashangaa kakasirika. Ni kamwambia unajua maana As-salamu alaykum

    Ndo yale yale ukimtukana mtu kwa kingereza hawezi kukupiga ila mtukane kwa kiswahili. Watu wengi ndugu zangu waislamu kwa kwani lugha mnayotumia kwenye dini ikiwa kwa kiswahili mnaona kama dini ijakamilika au ?. Kwa Kiswahili, As-salamu alaykum tafsiri yake ni: “Amani iwe juu yako” au “Amani...
  8. Je, unajua? Shetani anaweza kukupa mapesa, lakini...

    Kuna watu wanakiri kwamba wamepata utajiri baada ya kupewa "dawa" na waganga wa kienyeji au wachawi. Kulingana na Maandiko, inawezekana shetani akakupa mali lakini lazima ukubali kumsujudia. Katika Luka 4:5–7 imeandikwa: "Akampandisha juu, akamwonesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja...
  9. Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

    Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
  10. Taarifa kwa Askofu Ruwaichi: Unajua kuwa NSSF, DCI, DPP na PCCB wanatumia Msimbazi Center kama "Kidnapping Center" ya wadeni wa NSSF tangu jana?

    Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba: “Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
  11. Unalalamikiaje uwepo wa viporo vya Simba wakati unajua ukweli huu?

    Ndugu zangu, wakati mwingine tuache kulalamika kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa. Mashabiki wa Yanga wanalalamikia TFF na Bodi ya Ligi kwa kuwapa Simba viporo vingi, wakilinganisha na viporo ambavyo Yanga ilikuwa navyo msimu wa 2022-23. Kuna mambo kadhaa ambao wanajisahaulisha, mojawapo ni...
  12. Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  13. K

    Unajua kwanini serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi?

    Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi. Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
  14. I

    JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU?

    🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU? Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya simu, email au anwani ya nyumbani mtandaoni. Kwa ulimwengu wa sasa ambapo taarifa zako zinaweza...
  15. Unajua kwanini nacheka hii ni maajabu 🤣🤣

    hi inapendeza kwa CCM kwasababu ndio watajua sasa kuwa wananchi wamewachoka kazi kukamata watu wasio na hatia kisa wanawazidi hoja sasa unamkamata tundulisu kafanya nin mnamkamata heche kafanyanin sikuzote hoja inajibiwa na hoja ila wao CCM badala ya kubishana na hoja eti wanabishana na mtoa...
  16. Unajua madini yana tawaliwa na majoka. Ukweli huu hapa

    Picha hii ilipigwa mwaka 1959 na rubani wa helikopta kutoka Ubelgiji, Kanali Remy Van Lierde, wakati akiwa doria juu ya eneo la Congo. Nyoka aliyemuona alikuwa na urefu wa takriban futi 50 (sawa na mita 15), rangi yake ilikuwa kijani au kahawia iliyokolea na tumbo jeupe. Alikuwa na taya lenye...
  17. M

    Ni ishara gani ukiziona kwa mwenza wako unajua leo napewa tunda au sipewi?

    Habari wadau wa JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za kuumizana na kukasirikiana. Mambo haya kwa namna moja ama nyingine huathiri maisha ya kingono...
  18. Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

    for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions. Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu. Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
  19. Fun Fact: Unajua kuwa firigisi ni meno ya ndege?

    Ndege hawana meno ya kusagia chakula kama binadamu. Hivyo tumboni mwao wanafirigisi inayofanya kazi kama meno. Firigisi ina misuli yenye nguvu ambayo ikijikunjakunja, pamoja na mawe yaliyomo ndani yake, mawe yale husaga chakula kama vile mbegu ngumu. Kwa watu wa machimbo, firigisi ni kama...
  20. Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…