unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unajua Kentexa ofisi?

    Una ofisi ya kupokea na kutuma mizigo ndani ya Tanzania? kentexa inakupa mfumo wa kutoa risiti za kidigitali na Sms za papo kwa papo kwa Mteja wako.. Kentexa ni dunia nyingine ambayo inaenda kubadilisha kabisa watu tunavyofanya kazi kila siku.. Tanzania tulikosa muunganiko wa biashara ukianzia...
  2. Je unajua unaweza kuchaguliwa na mizimu ya ukoo kubeba mikoba bila hiyari yako? Umejipangaje?

    Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi. Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
  3. Kabla ya kuanza kufuga,je unajua pa kumpata daktari wa mifugo?

    Wana JF Watu wengi wanapoamua kuanza ufugaji, huanza kwa kutafuta eneo, kujenga mabanda, kununua mifugo na kuandaa chakula. Lakini mara nyingi husahau kujiuliza swali muhimu: Mifugo yangu ikiugua, nitapata wapi msaada wa daktari wa mifugo? Ufugaji una changamoto nyingi za kiafya. Kuku wanaweza...
  4. Wanaume: Zama zimebadilika

    Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo. Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke. Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya...
  5. Hivi unajua ya kua neno BUZA limetoholewa kutoka kwenye neno BUDDHA?

    Aaaha Wakuu, Ni hivi na wewe ulikua unajua hii? Kwamba; Sijui km unajua na km ulikua haujui basi leo ngoja nikujuze na utakua umejua na ninajua ulikua haujui basi leo umejua hili neno Buza kwa Mama Kibonge, Buza kwa Mpalange, Buza Kanisana, Buza kwa Lulenge, Buza limetokana na neno Buddha...
  6. Je unajua kwanini upo hapa Duniani?

    Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?. Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa...
  7. Je unajua ? Sasa unaweza kufanya skin dermatology bila kumuona mtaalamu wa ngozi ?

    Wakuu ! Kama title ya huu uzi inavyojieleza, sasa kupitia AI unaweza ukafanya mwenyewe skin dermatology bila kumuona mtaalamu wa ngozi ili kujua una gani aina ya ngozi, chunusi na madoa ambayo huyaoni kwa kioo, utapata kutambua ukavu wa ngozi au kama ngozi yako ina mafuta mengi na vile vile...
  8. Kwa uelewa, unajua nyie ni vichwa ngumu!

  9. Hivi kumbe mtu unajua destiny yako kadri unavyoishi

    Kwanza kabisa nipende kujitambulisha, You can call me King of hearts ♥️ Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia) Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu...
  10. Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

    Habari za muda huu wana-JF, Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli. Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
  11. Ukisikia “RRRAAAWWW!” huyo ni Simba! Lakini… je, unajua kweli mngurumo wa simba unamaanisha nini?

    Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao. Na jambo la kushangaza zaidi? Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀 Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu...
  12. Z

    Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa. eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye. Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA. Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
  13. Je unajua kuhusu METADATA?

    Metadata ni taarifa zinazoelezea taarifa nyingine Hizi taarifa mara nyingi zinakuwa zimehifadhiwa kwenye picha au video metadata itasoma hio picha ilipigwa wapi muda gani camera gani ilitumika au simu gani ilitumika kupiga picha Sasa hii metadata imesababisha watoto wadogo kukamatwa na hii...
  14. Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  15. Je unajua kitendo hiki kwenye ujasusi??

    **Je unajua kitendo #hiki kwenye ujasusi?? **Kwenye ujasusi unaweza kutambua unafatiliwa au unapelelezwa na watu wenye nia mbaya alafu wewe unatangaza hadharani sehemu ulipo ili kuweza kuwaibaini hao wanaokufatiliwa?? **Kijasusi, kitendo hiki kinaitwa Counter-Surveillance (Ushushushu wa...
  16. Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  17. Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

    MUNGU HAWEZI KUKUOKOA MBELE YA MWANAMKE ALIYEAMUA KUKUANGAMIZA. UNAJUA NI KWA NINI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni siri hutokuja uambiwe popote. Na leo nitakuambia. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya serikali. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya majambazi yenye silaha. Mungu anaweza...
  18. Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

    Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!! Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini) Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili. NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE. Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…