una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  2. Video Editors na Content Creators: Una edit video zako kwa kutumia software gani?

    Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
  3. Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

    Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
  4. Ndugu upande wa baba.. Una lipi la kuwaambia?

    Ni kweli hawaeleweki? Ni kweli wao wanadhani wana haki zote? Ni kweli wao wanajiona daraja la kwanza? Ni kweli hawaambiliki?
  5. KWELI Mwili wa binadamu una dhahabu ndani yake, ila kwa kiwango kidogo sana

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasamambazwa na moja ya ukurasa wa facebook likidai kuwa Inawezekana unatafuta dhahabu machimboni au madukani, lakini ukweli ni kwamba tayari unatembea ukiwa na dhahabu mwilini mwako! Katika chapisho hilo wamedai kuwa Wanasayansi wamethibitisha kuwa ndani ya...
  6. Je, una tabia ya kuongea na wewe mwenyewe?

    Je, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe? Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe. Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa...
  7. M

    Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
  8. Kama una nyota ya ng'e tamka maneno haya kuvutia pesa kwako

    Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema : 1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi...
  9. Kwanini unapambana? Hela ya kula tu au una JAMBO linaloiambia nafsi "usilete ujinga, kaza"

    Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
  10. Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

    Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri...
  11. Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  12. Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  13. Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

    Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
  14. Utajuaje kama una laana?

    Laana ni nini? Kwa mujibu wa Biblia laana ina maana kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na; 1. Kuwa na maisha yasiyo zaa 2.Kutambaa (kuwa na hatua hafifu kwenye maisha) 3.Kufa, hapa namaanisha kifo cha mwili au kuishi maisha kama mfu. Au kuishi mahali ambapo kila kitu kimekufa. 4.Kuzaa watoto...
  15. Upo na stress ukiwa wapi? Au una enjoy ukiwa wapi?

    Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo All in all sita wafundisha vyote sawa 😄 Happy Easter Day in advance
  16. C

    Je una huruma kiasi gani ?

    Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ? Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu hapo ndipo nitaanza kudeal nao kwasababu sasa hivi hawajui chochote bado sababu nyingine ya...
  17. Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

    Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Maisha haya yana sifa ya...
  18. M

    Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  19. Ulijuaje una date na wakishua bila mwenyewe kukuambia

    •Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi •Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe •Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…