una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Kwanini ulizaa, unazaa au una mpango wa kuzaa watoto?

    Sababu gani zilizokufanya uzae watoto au za kukufanya uzae au uwe na mpango wa kuzaa watoto hapa duniani?
  2. baharia 1

    Salumu Una miaka 27, unabanana na watoto chumba kimoja

    Salumu tuliyesoma naye sekondari ana miaka 27, ana mke na watoto wawili chumba kimoja, hana kiwanja na kodi inamshinda... Hivi nyie wanaume mmezaliwa kwa bahati mbaya au ni watoto wa zinaa Kuna mshkaji wangu mmoja anaitwa Salumu ambaye tulimaliza naye sekondari pamoja, umri wetu haujapishana...
  3. Jumanne Mwita

    Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  4. Dogoli kinyamkela

    KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu

    KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu fulani hivi unakita kwenye kinu kwa kishindo. Raha ya mwichi uwe mzito
  5. MakinikiA

    Baba Levo wewe pekee bungeni umeonekana ndio msomi

    Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300. Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake. Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi...
  6. Crocodiletooth

    Mpango wa urusi kutaka kuhamishia baadhi ya viwanda vyake afrika je una lengo jema?

    Russian factories could soon be heading to Africa. That's the message Vladimir Putin delivered in Moscow on Thursday. Speaking on the second day of the Russia–Africa Summit, Putin said Russian companies are interested in shifting some of their production to African countries. He linked the idea...
  7. M

    Padre Jonathan Mkwizu: Unaweza ukatesa, ukateka, ukaua watu sababu una majeshi - ila, Mungu yupo!

    Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
  8. youngkato

    Una biashara lakini jina lake halijasajiliwa? Usisubiri mpaka ukumbane na changamoto!

    Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA. ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO. 1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA Biashara yenye...
  9. Forrest Gump

    Ndio maana mchepuko akishajua una visenti anakulazimisha mzae pamoja na ndio maana siku ya msiba wa baba yako watoto wengi hujaa siku ya mirathi

    Hamna pesa ila mnazaana kama panya buku
  10. M

    Mlimao huu una ugonjwa gani? Msaada tafadhali

    Salaam wanajamii forum! Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani). Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini?
  11. Samia atosha tukutane2030

    Ulokole una faida nyingi sana, ila walokole wengi wanazikosa kwasababu ya mafundisho duni makanisani.

    Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi. Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine...
  12. K

    JE MKAA UNA THAMANI KULIKO WATU MULEBA?

    * Ni hali ya simanzi na majonzi inaendelea ndani ya wilaya ya Muleba na nje ya Muleba. Haki ya kuishi iko wapi? Vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake ni ipi? Tumefikia wapi mpaka kufanya Muleba kuifanya kuwa kama machinjio ya binadamu? Hofu inaendelea kutanda kila mahala baada ya kuona vijana...
  13. Lycaon pictus

    Mkia wa samaki Taa(Stingray) una maajabu gani?

  14. M

    Je, una mpango wa kuanzisha biashara ya shisha?

    FAHAMU MTAJI WA KUANZIA NA FURSA ILIYOPO KWENYE BIASHARA HII! Je, umewahi kuona watu wakivuta Shisha kwenye Bar, Club, Beach au Restaurant, ukajiuliza biashara hii inafanyikaje na inahitaji mtaji kiasi gani? Leo nakupa mchanganuo wa vifaa, gharama za kuanzia na makadirio ya mauzo ili uweze...
  15. Gobole Lenye Risasi

    Ulikuwa mtu huru una enjoy Life. Ghafla unaambiwa umeteuliwa kuwa Ayatollah Iran. Unaoneshwa mashimo ya kuishi

    Hii Dunia haipo fair kabisa. Imagine ulikuwa na uwezo wa kutembea popote upendapo. Kwenda beach, porini, shambani n.k ulikuwa unaweza kaa na watoto wako na wakezo mka enjoy Anatokea mbwa mmoja kwa wivu na chuki zake anapendekeza unakuwa Hayatollah. Hapo hapo maisha yanabadilika. Unaanza...
  16. DogoWaNjombe

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi unalipishwa ushuru wa kuingia ndani

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi? Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
  17. M

    Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  18. min -me

    Uchungu wa pesa una uma🥲

    Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔 Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅 Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊 Akaenda...
  19. Eli Cohen

    Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  20. Etwege

    Ulimi wa Humphrey Polepole una upanga?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1. Wicknell...
Back
Top Bottom