umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa Mawe yana umuhimu mkubwa katika ujenzi wa ghorofa, hasa wakati wa kupiga jamvi (slab). Hapa kuna faida zake: ✅ Kuimarisha Msingi – Mawe husaidia kuimarisha msingi wa jengo kwa kuzuia...
  2. UMUGHAKA

    Kuna umuhimu gani wa kuwapigia kura wabunge ikiwa kila kitu katika Jimbo husika kafanya Mama?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wimbo huimbwao na Wabunge UBETI 🎼 🎶Mama hatukudai Mama huna deni Mama Mitano tena Shule ya Mama Vyoo vya Mama Maji ya mama Bodaboda wa Mama Ndizi za mama Matunda ya Mama Papuchi za Mama Mijurubenge ya mama Barabara za Mama Mimba za mama Mbususu za...
  3. Bunchari

    Kwa haya yanayoendelea kuna umuhimu wa kuwepo Baraza la Dini mbalimbali Tanzania (Inter-Religious Council of Tanzania)?

    Habari wakuu Hili baraza liliundwa baada ya mashauriano kati ya taasisi za kidini kama BAKWATA, TEC, CCT, CPCT, pamoja na wawakilishi wa dini ya Hindu, Baha’i, na Budha. Malengo ya IRCPT ni pamoja na - Kuwezesha viongozi wa dini kushiriki katika utatuzi wa migogoro na kuzuia migogoro kabla...
  4. blogger

    Nimejishangaa sana kuchelewa tambua Umuhimu wa Mto katika kumpa mwanamume muingilio mwarara

    Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia. Haki Mapenzi ni Ubunifu. Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!?? Ehh!!
  5. stabilityman

    Naomba leo nikufundishe umuhimu wa expansion joint kwenye jengo la gholofa

    Expansion joint ni sehemu muhimu katika ujenzi wa ghorofa kwani husaidia kupunguza athari za mabadiliko ya joto, mtikisiko wa ardhi, na upanuzi wa vifaa vya ujenzi. Hapa kuna umuhimu wake: 1. Kuzuia Nyufa na Uharibifu wa Muundo - Ghorofa hupitia mabadiliko ya joto ambayo husababisha upanuzi na...
  6. Adverse Effect

    Umuhimu wa kuchaguliwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti IDU

    UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA! Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
  7. chama mpangala

    Umuhimu wa kujifukiza kiroho

    Wakati baadhi ya Watanzania wengi walio letewa dini kuona kujifukiza ni ushamba. Ukifika katika Nchi ya Guatemala au Mexico haswa katika jiji la Mexico City. Huku watu wana jifukiza na pia huungana na roho za mababu zao kwa ibada maalumu inayo itwa Temazcal Mexico kuna inabada maalum inaitwa...
  8. stabilityman

    Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba kabla haujaanza ujenzi

    Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba ni mkubwa sana kabla ya kuanza ujenzi. Hapa ni sababu kuu: 1. Mwongozo wa Ujenzi: Ramani inaelekeza kila hatua ya ujenzi, kuanzia msingi hadi paa. 2. Kuzuia Makosa: Inasaidia kuepuka makosa ya kiufundi, kupunguza uharibifu wa vifaa na kazi ya kurudia. 3...
  9. stabilityman

    Soma hapa umuhimu wa kuwa na landscape design nzuri kwenye nyumba yako wale wapenda garden

    Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache: 1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia. 2. Thamani ya Mali: Nyumba yenye landscape nzuri huongeza thamani ya ardhi na kuvutia wanunuzi au wapangaji. 3. Faragha...
  10. funaku

    Upo umuhimu wa kutambua washiriki wa mikutano ya CHADEMA kwa sasa inawezekana wamejaa wanaharakati kutoka Kenya

    Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea. Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
  11. L

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uingiliaji wa Kipindi cha Uchaguzi na Umuhimu wa 'No Reforms, No Elections

    Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
  12. Fifteen

    Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

    Habari wakuu, Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
  13. Lord Denning

    Maamuzi ya Mahakama Kesi ya Lissu: Uthibitisho wa Umuhimu wa TLS kama " Shadow 4th Organ of the State"

    Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
  14. M

    Umuhimu wa Kuweka Spare Parts Halisi kutoka jerry spare parts and services Tanzania – Je, Watumiaji Wengi Wanaelewa?

    Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo. Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
  15. musicarlito

    Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?

    Salamu Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado...
  16. Brojust

    Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  17. FestoKaguo

    Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  18. Tanzanian kid

    Umuhimu wa kujifunza coding kwa kila mtu

    Coding Siyo kwa Wataalamu Tu—Ni Kwa Kila Mtu! Katika dunia ya leo inayozidi kuwa ya kidijitali, kujua misingi ya coding ni muhimu kwa kila mtu, si kwa wataalamu tu! Coding ni funguo za mafanikio katika dunia ya kisasa. 🚀 Kwa Nini Coding ni Muhimu? 1. Fursa za Ajira: Sekta nyingi sasa...
  19. Terrible Teen

    Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo. Kwa...
  20. S

    Tetesi: umuhimu wa mfumu huru shirikishi baina ya serikali na wasomi kwa maendeleo ya taifa

    Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali Utangulizi Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
Back
Top Bottom