Kamishna wa EU bibie Ursula van der Leyen akiwa na waziri mkuu wa UK bwana Andy Burnham (katikati) pamoja na raisi wa baraza la Ulaya bwana Antonio Costa kwenye mkutano wa UK na EU mjini Brussels. Picha na Nicolas Tucat wa AFP
UK leo imekubaliana na Umoja wa Ulaya kurudi katika umoja huo...
Tume ya Ulaya imekumbwa na shambulio la mtandaoni lililolenga mifumo yake ya kuhifadhi na kusimamia taarifa za wafanyakazi.
Shambulio hilo lilisababisha mfumo wa Sysper kusitisha kufanya kazi kwa siku kadhaa, na kuwazuia wafanyakazi kupata taarifa za mishahara, kuomba likizo na kufanya shughuli...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila Anapokwenda Rais Samia ni Lazima Uone Ushindi Wa Alama 3 Muhimu ,Ni lazima Uone Vishindo vya Makofi na kushangiliwa ,Ni lazima uone akiibuka kinara wa Mkutano na kujadili na kila Mtu Ni Lazima uone Wanaomfuata Wote wakipata taabu kubwa sana ya kuzungumza mambo...
Wanadiplomasia wakuu wa nchi tatu za Ulaya watafanya mazungumzo mjini Istanbul na wenzao wa Uturuki, Saudi Arabia, Pakistan na Misri. Mkutano huo utajadili hali nchini Yemen, Ukanda wa Gaza na mzozo nchini Iran.
Nchi saba zinakutana kwa mara ya kwanza chini ya mfumo wa E3 unaoundwa na...
Na Mwandishi Wetu
Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kufadhili miradi yenye thamani ya euro milioni 156 unaipa Tanzania fursa ya kuendeleza vipaumbele vyake vya maendeleo, huku ukisisitiza umuhimu wa kuendeleza baina ya Tanzania na EU kwa kuzingatia maslahi mapana ya wananchi wake
Vitu vya msingi...
Mchambuzi wa masuala ya kimataifa na diplomasia, Thomas Kibwana, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu dhana ya fedha zinazotolewa na Umoja wa Ulaya (EU) kwa mataifa yanayoendelea, huku akikemea upotoshaji unaoeneza taarifa zisizo sahihi.
Kibwana amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuelewa mifumo...
Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
Mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuanzisha vituo vya wahamiaji nje ya mipaka yake umeingia hatua mpya huku Rwanda ikitajwa kuwa eneo linalopewa nafasi kubwa ya kuwa mwenyeji wa kituo cha kwanza cha aina hiyo.
Mpango huo ni sehemu ya msimamo mkali zaidi wa baadhi ya serikali za Ulaya kuhusu uhamiaji...
Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku...
Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akinukuu Maneno ya Hayati Benjamini Mkapa Alishasema hadharani kwa kujiamini na kusema kuwa kama Taifa tupo tayari kupokea ushauri wa Yeyote yule lakini siyo kupewa...
YAFUATAYO NI MAJIBU YA AI:
"... Hakuna athari ya moja kwa moja ya kisheria ndani ya Tanzania kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akikutwa na hatia ya uhaini nchini huku akishinda Tuzo ya Sakharov ya Bunge la Ulaya. Mahakama za Tanzania hufanya uamuzi kwa mujibu wa sheria za nchi, na tuzo...
Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini.
Katika...
Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine.
Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi.
Will EU just watch?
Julai 17, 2026, JamiiAfrica ilitembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Balozi Christine alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania, 1 September 2023.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha vikali madai yaliyomo kwenye rasimu ya hoja ya kimataifa inayovumisha kuwa nchi hiyo "ilikataa" ziara ya Kamati Ndogo ya Bunge la Ulaya kuhusu Haki za Binadamu, ikitaja madai hayo kama upotoshaji mkubwa wa kidiplomasia.
Katika ufafanuzi...
Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
Wakuu,
Balozi wa EU Christine Grau, amejibu lile swali la Who Are You kutoka kwa Rais Samia
Hapa Balozi alikuwa anazungumza na The Chanzo na alivyoulizwa kuhusu wapi ambapo Umoja wa Ulaya inapata nguvu ya kuzungumza na kukemea yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania alisema
"Tanzania imesaini...
Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia.
Katika mahojiano ya kina na ya nadra, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau, alithibitisha kuwa umoja huo tayari...
Brussels, Belgium
Makao Makuu ya
Umoja wa Ulaya / EU
KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ...
Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.