umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Katika maisha ya kweli umewahi kumjua mwanaume mwenye maisha ya chini aliepata zali la mentali, kupendwa hadi kumuoa binti mwenye uchumi mzuri ?

    Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli ? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
  2. youngkato

    Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  3. Kelela

    Umewahi Kupanda Bus ya Abood ya Dar - Tarime? Pitia hapa

    Kama umewahi kupanda Bus ya Abood Dar - Tarime au Tarime _ Dar Naomba kujua huduma zao, wapo ontime (wanajali muda)? wanatumia masaa 22 kama walivyoandika kwenye tiketi au ni zaidi ya masaa 22 ya safari?
  4. Damaso

    Umewahi kujiuliza kiongozi wako ana akili timamu? CASE YA DIWANI DOGO JANJA

    Suala la uongozi siyo kuvaa suti kali na kuongea maneno makubwa kubwa kama "uchumi unakua kwa kishindo" huku mfukoni mwako panya anazalia. Uongozi ni heshima, ni akili, na zaidi ya yote... ni mtindo wa maisha (lifestyle) Huwezi kuwa kiongozi aidha Mbunge ama Diwani halafu mtindo wako wa maisha...
  5. Yoda

    Umewahi kuisikia sauti ya mungu? Unatambuaje akikujibu maombi?

    Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ? Huwa wanasikia sauti yake mungu?
  6. M

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?
  7. Isenye

    Ni kiwango gani cha umalaya umewahi kukifanya mpaka leo ukikumbuka unajishangaa?

    Mimi mwaka juzi nilikua natoka kimapenzi na mdada flani hivi,sasa huyo mdada alikua na best yake,nikawa namzunguka namla na best yake,so kwa kifupi nikawa nawala marafiki walioshibana kwa wakati mmoja. Case ya pili mwaka 2019 niliwahi kuwala wadada wanne kwa siku moja,kila mtu nilimkaza kwa muda...
  8. Mjomba Fujo

    Umewahi kuona wine ya 1000? Njoo Dodoma

    Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili. Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza. Ujazo - 200ml Abv 14%
  9. Yoda

    Umewahi kutapeliwa ? Nini huwa ni sababu kuu ya mtu kutapeliwa kirahisi?

    Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ? Mifano ya utapeli ni pamoja, Unaambiwa utume pesa upate kazi na unatuma kweli, kazi hupati Unamtumia nauli demu aje na haji na wakati mwingine...
  10. The Dictator

    Vipofu wakilala huota ndoto kama ilivyo kwa mtu anayeona? Umewahi kujiuliza huwa inakuwaje?

    Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi. Ndoto ni nini? Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa amelala. Ndoto nyingi hutokea katika hatua ya usingizi inayoitwa REM (Rapid Eye Movement), ambapo...
  11. Inevitable

    Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  12. The Dictator

    Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  13. ShesRise_1

    Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

    Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako? Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani? Mara nyingi husikia watu wakisema...
  14. ndege JOHN

    Je umewahi kukanyaga nchi gani? Taja list yako

    Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi: Ethiopia Thailand Timor-Leste Indonesia Myanmar Singapore Ufilipino Msumbiji Japan Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...
  15. Mad Max

    Umeshawahi kuzielewa BMW Mini?

    Kama haka kadude kamewahi kukuvutia, na unampango wa kukanunua, hakikisha ni 3rd generation (F55 au F56 au F57)! Hizi zilitengemezwa kuanzia 2014-2024. F55 ni 5 doors, 56 ni 3 doors na 57 ni convertible. Ila same engine and chassis. Kuna watu wanasemaga Mini ni mbovu, ni kweli, ila ni...
  16. W

    Umewahi kukutana na tukio la kuagiza kitu mtandao halafu ulicholetewa ni tofauti na ulichoagiza?

    Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe. Majibu ya...
  17. Sister Abigail

    Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

    Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒 Pili ni chumvi nyingi sana. Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada. Na pia...
  18. MRWINNER

    Umewahi Kugharamia Demu Halafu Akakunyima Utamu?

    vipi mdau ulichukua hatua gani kurudisha gharama zako?
  19. Donnie Charlie

    Umewahi kufahamu kuwa kuna samaki anaweza kuishi miaka hadi 500?

    The Greenland shark can live over 400 years. It was swimming before Shakespeare was born.
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hivi katika maisha yako umewahi kuzika ndg yako asiye na kichwa ?

    Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida. Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji. Hatukwenda...
Back
Top Bottom